Cuba hakuna chakula.?
Cuba’s new parliament will face a familiar economic hangover
Slammed by sanctions, the pandemic, and high inflation, Havana is making piecemeal reforms which may not be enough.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cuba hakuna chakula.?
Una kichaa wewe kama huo ndio mchango wako kwenye topiki hii. JPM alikuwa habadilisihi badilishi namna hii, ni ama "anatumbua" moja kwa moja au "anakekemea makosa hadharani na kutishia kutumbua". Hakuwa anabadilibadili mara leo hapa mara kesho pale. Hebu eleza ni teuzi ngapi ambazo JPM alikuwa anahamisha hamaisha na kutengua tengua bila taarifa iwapo siyo wale aliokuwa "anatumbua kwa makosa fulani" na ikawa inajulikana fulani "katumbuliwa" kwa kosa fulani.
Mtu anapowekwa katika nafasi fulani, huchukua muda kuielewa nafasi ile na kujenga mikakati ya kukabiliana na changanote zake; kabla hajakamilisha mikakati yake anahamishiwa katika nafasi nyingine ambako ataanza upya; hiyo inapunguza sana ufanisi.
Hao wote uliowataja ni mate wangu na mimi kwa sheria za Tanzania ni mstaafu sasa; kwa hiyo hao wote unaowataja hapo watakuwa ni wastaafu pia. Kwa umri wangu sihitaji kuteuliwa na nina hela nyingi sana kuliko takataka ingawa siyo bilionea. Pesa niliyo nayo inanitosha sana kumalizia uhai wangu bila kuteuliwa na kulipwa tena na serikali yoyote. Elewa tena kuwa nina pesa nyingi sana kuliko idadi ya nywele zako. Wenye hela huwa hawajisifu lakini inabidi upewe ukweli kuwa wewe ukiwa na njaa ya hela, siyo kila mtu ana njaa hiyo.Mama hajakups kitengo nini?
Mwenzako Manyahi ni mkurugenzi wa BICO anaendelea kusifia japo si mitandaoni.
Mwenzako Kyaruzi ni consultant TANESCO.
Mwenzako Dr. Yoonah yku Mandela University na mke wake ni DG wa NBC.
Sasa kama umeanza kulalama na kuiponda serkali kama sisi tunavyoiponda basi ni dhahiri mama ana watu wake na siyo wewe.
Sukuma gang wahed!!Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu
Utakuwa umesahau tu kuwa CCM ilishakwisha na ilirudishwa na Polepole huyo huyo na Bashiru wake ambao leo unawaponda hapa. CCM Jakaya aliiacha inatumbukia shimoni jamaa wakaja kuiokota na kuirudisha. Usiwachukulie powa.Movement zipi Mkuu? Polepole ni nzi tu CCM hakuwa hata na miaka 5 so Hana hiyo power mnayofikiria anayo. Kahamishwa Ili tu asipige kelele awe busy muda wote ila Sio kwamba ana uwezo wa kushawishi chaguzi za 2025.
Kama kinana, makamba, membe n.k walikua na miaka zaidi ya 40 CCM walitulizwa na JPM walipotaka kumuondoa 2020 ndio sembuse Polepole na Bashiru waliokaa 5 years pekee?? Mkuu CCM Ina wenyewe na ndio waliokamata serikali so hao kina Kabudi, Polepole na Bashiru ni wageni tu

Anaakili yake. Anacheza na akili za watawala wahuni wanasema anatembea na bitiIla bana Humphrey Polepole huwa anachekesha sana katika career nzima ya uongozi wake [emoji23]
Hapana ni JPM ndio aliirejesha hao kina Polepole walipewa tu nguvu ila sio kwamba walikua ni wanamikakati otherwise wangeshaandaa "sustainability plan" in case JPM akifariki, kupinduliwa, au kumaliza muda 2025!!Utakuwa umesahau tu kuwa CCM ilishakwisha na ilirudishwa na Polepole huyo huyo na Bashiru wake ambao leo unawaponda hapa. CCM Jakaya aliiacha inatumbukia shimoni jamaa wakaja kuiokota na kuirudisha. Usiwachukulie powa.
Hao wote uliowataja ni mate wangu na mimi kwa sheria za Tanzania ni mstaafu sasa; kwa hiyo hao wote unaowataja hapo watakuwa ni wastaafu pia. Kwa umri wangu sihitaji kuteuliwa na nina hela nyingi sana kuliko takaka ingawa siyo bilionea. Pesa niliyo nayo inanitosha sana kumalizia uhai wangu bila kuteuliwa na kulipwa tena na serikali yoyote. Elewa tena kuwa nina pesa nyingi sana kuliko idadi ya nywele zako. Wenye hela huwa hawajisifu lakini inabidi upewe ukweli kuwa wewe ukiwa na njaa ya hela, siyo kila mtu an njaa hiyo.
Wewe unayedhani kuwa kuteuliwa serikalini ndiko kumaliza njaa ndiye una njaa kubwa sana; nadhani zamani sana uliwahi kulalamika zamani kuhusu mgomo wa engineering na kusaliti wenzako wakakutenga, sijui kama kutengwae kule kulikuathiri kisaikolojia na hadi leo hujapona. Ni miaka zaidi ya thelathini imepita sasa, achana ma hasira hizo za kutengwa zitakupatia ugonjwa wa moyo bure.Ungekuwa huna njaa usingehangaika huku mitandaoni. Wezako FOE huwasikii huku. Manyahi alipoondolewa TANESCO hatusikii kelele kama zako.
Dr. Yonnah alipoondolewa wizarani hatukusikia kelele kama zako.
Mwache Samia aongoze kulialia hakukusaidi, mlimaliza zamu yenu kwenye CCM ile iliyokupeleka UN.
Wewe unayedhani kuwa kuteuliwa serikalini ndiko kumaliza njaa ndiye una njaa kubwa sana; nadhani zamani sana uliwahi kulalamika zamani kuhusu mgomo wa engineering na kusaliti wenzako wakakutenga, sijui kama kutengwae kule kulikuathiri kisaikolojia na hadi leo hujapona. Ni miaka zaidi ya thelathini imepita sasa, achana ma hasira hizo za kutengwa zitakupatia ugonjwa wa moyo bure.
Mimi siishi Tanzania niteuliwe kufanya nini kama huna upunguani; kwa taarifa yako niliondoka Tanzania takriban miaka 30 iliyopita. Huwa ninatembelea ndugu tu lakini makazi yangu hayako Tanzania tena; kwa hiyo usisumbuliwe kabisa na maisha yangu, ni mazuri sana.Lutoteuliwa ndiko kunakokufanya ulaumulaumu wakati miaka miwili iliyopita ulikuwa mtu wa kusifiasifia kama mwezako Kabudi, amaye naye sasa hasikiki tena, hatumbui macho tena.
Tuliosomea Cuba tunaelewewa.
Mr pole pole kapelekwa mbali na Tz kusudi kuvuruga zile movements zake za chini chini.
Maana ilikuwa haipiti mwezi bila kuja Tz.
Next stage watamla kichwa kabla ya 25.
Japo, hii itakuwa risk kwa SSH.
Maana watamrahisishia mipango yake.
Mimi siishi Tanzania niteuliwe kufanya nini kama huna upunguani; kwa taarifa yako niliondoka Tanzania takriban miaka 30 iliyopita. Huwa ninatembelea ndugu tu lakini makazi yangu hayako Tanzania tena; kwa hiyo usisumbuliwe kabisa na maisha yangu, ni mazuri sana.
Nadhani una njaa sana kwani ineonekana unasumbuliwa sana na uteuzi. Kama unategemea uteuzi basi elewa kuwa kazi ya kuteuliwa haina hadhi; wenye kujijua hatamani kuteuliwa. Ukishateuliwa unakuwa mtumwa wa aliyekuteua. Mimi ni professional Engineer ninayejitosheleza sana. naona kama Tanzania kuna watu wana ugonjwa wa kuteuliwa, mimi sehemu kubwa sana ya maisha yangu yote nimeishi katika mazingiria ya kufight, siyo kusubiri kuteuliwa!Mwenzako Prof. Nkoma aliteuliwa kuwa DG akiwa abroad.
Hoja usiyoweza kuijibu ni kitendo chako cha kusifiasifia serikali kabla ya kifo cha Magufuli na sasa kupondaponda baada ya Samia kutawala.
Usingebadilika kama kinyonga nisingehangaika na wewe.
Wana hoteli moja nzuri sana yaitwa Tropicana na pia hapohapo Havana pana ule mchezo wa Cabaret kwenye hoteli maarufu iitwayo Hotel de Nacional.Havana
Nadhani una njaa sana kwani ineonekana unasumbuliwa sana na uteuzi. Kama unategemea uteuzi basi elewa kuwa kazi ya kuteuliwa haina hadhi; wenye kujijua hatamani kuteuliwa. Ukishateuliwa unakuwa mtumwa wa aliyekuteua. Mimi ni professional Engineer ninayejitosheleza sana. naona kama Tanzania kuna watu wana ugonjwa wa kuteuliwa, mimi sehemu kubwa sana ya maisha yangu yote nimeishi katika mazingiria ya kufight, siyo kusubiri kuteuliwa!
Mnaopenda vya bure mnasifia mkipata vya bure kutoka serikalini kwa njia za haramu, na tunaojua kuwa serikali husimamia sheria haitoi vya bure tutasema tukiona serikali haitimizi wajibu wake wa kusimamia sheria. Kazi ya serikali siyo kukopa hela kwa wafadahili na kuzimwaga mitaani kwenye kamba ndefu bali ni kusimamia sheria na kuhakikisha kila raia anapata riziki yake kwa kufanya kazi. Hivi mauzi nimesikia baadhi ya wabunge nao wakiamka na kutambua kuwa serikali imekosa mwelekeo. Kwa wewe mwenye mtazamo mfupi huwezi kuelewa hayo kwani akili yako kubwa iko kwenye kuteuliwa tu, na hailo halituzuii wengine tunajua mwenenedo wa dunia kutoa maoni yetu.