Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hajabadilishiwa nafasi yake, kazi bado ni ile ile isipokuwa kilichobadilika kwake ni LOCATION tu. Chances ni kwamba huyu amekuwa favoured zaidi kiasi ambacho kinampalilia aweze kupata uzoefu zaidi kwenye nafasi hiyo.Una kichaa wewe kama huo ndio mchango wako kwenye topiki hii. JPM alikuwa habadilisihi badilishi namna hii, ni ama "anatumbua" moja kwa moja au "anakekemea makosa hadharani na kutishia kutumbua". Hakuwa anabadilibadili mara leo hapa mara kesho pale. Hebu eleza ni teuzi ngapi ambazo JPM alikuwa anahamisha hamaisha na kutengua tengua bila taarifa iwapo siyo wale aliokuwa "anatumbua kwa makosa fulani" na ikawa inajulikana fulani "katumbuliwa" kwa kosa fulani.
Mtu anapowekwa katika nafasi fulani, huchukua muda kuielewa nafasi ile na kujenga mikakati ya kukabiliana na changanote zake; kabla hajakamilisha mikakati yake anahamishiwa katika nafasi nyingine ambako ataanza upya; hiyo inapunguza sana ufanisi.
Ndio wameenda kumzika huko, hahaa Nchimbi yuko wapi now? Wazee nduo wanajua alikuwa mwanasiasa, ila vijana wa sasa hakuna anaye mjua, Polepole ndio mwisho wake sasa
Asante sana; wewe umetoa comment constructive sana. Hata hivyo elewa kuwa tukitumia mfano rahisi sana wa maisha ni kwamba, ukiishi Mwanza kwa mwaka mmoja utajua ni wapi pa kununua vitumbua vizuri, ila ukishahaishiwa Tabora itakuchukua muda tena kujua wapi pa kupata vitumubua vizuri vya namna hiyo. Hilo ndilo ninaloongelea; issue siyo kujua vilipo vitumbua bali ni wapi vilipom vitumbua vizuri. Ni concept ngumu kidogo kwa watu wengine kuelewa ila hilo ndilo ninaloongea la ufanisi wa kazi katika majukumu wanayopewa.Huyu hajabadilishiwa nafasi yake, kazi bado ni ile ile isipokuwa kilichobadilika kwake ni LOCATION tu. Chances ni kwamba huyu amekuwa favoured zaidi kiasi ambacho kinampalilia aweze kupata uzoefu zaidi kwenye nafasi hiyo.
Hivi kwa nini sisi huwa hatuko positive kwenye mambo yetu? Yaani huwa tuko negative kwa kila kitu. Napapenda Tanzania kuliko Marekani, lakini wakati mwingine huwa nafikiria kuhamia Marekani ili nikae mabli na watu walio negative mno
Cuba hakuna chakula.?Masikini Polepole anapelekwa kwenye njaa tu. Mama kaona bado anafanya kazi kisiasa katupwa kisiwani mbali sana!
Naam [emoji41][emoji41][emoji1783]Mwamba ana enda kula pisi za cuba
Kama mfano wako ni fumbo linaloongelea mambo ya kiofisi; mgeni yeyote kwenye mazingira mapya huwa anahitaji induction course ya masaa tu na ambayo ni ya siku moja tu, kuanzia kwenye mazingira yake ya kazi na hata nje ya mazingira ya kazi. Othrewise tuseme kama ni mwalimu amehamishiwa shule nyingine, baada ya hapo kesho yake anakuwa yuko tayari kushika chaki na kuingia darasani.Asante sana; wewe umetoa comment constructive sana. Hata hivyo elewa kuwa tukitumia mfano rahisi sana wa maisha ni kwamba, ukiishi Mwanza kwa mwaka mmoja utajua ni wapi pa kununua vitumbua vizuri, ila ukishahaishiwa Tabora itakuchukua muda tena kujua wapi pa kupata vitumubua vizuri vya namna hiyo. Hilo ndilo ninaloongelea; issue siyo kujua vilipo vitumbua bali ni wapi vilipom vitumbua vizuri. Ni concept ngumu kidogo kwa watu wengine kuelewa ila hilo ndilo ninaloongea la ufanisi wa kazi katika majukumu wanayopewa.
Msitutoe kwenye RELI,
Awamu ya SITA imedhamiria kuifilisi Nchi na kuiacha katika madeni makubwa Kwa vizazi vijavyo.
MIKOPO na Pesa za Umma zinaibwa na viongozi Wanalalamika.
Wote wanaohujumu pesa za Umma, tauni isikauke kwao na vizazi vyao.
Hadi watakapotambua, Mungu akikupa nafasi ya uongozi, jua unamuwakilisha Mungu kuwahudumia wananchi maskini wapate kuinuliwa.
Kaka kaka kaka kaka popote ulipo Cuba sio Malawi usije kuleta kisebu sebu chako,tulisoma Cuba utapotea!
Nenda kakitulize!
Uhalisia ambao ninauona mimi hapa ni kwamba ipo siku itakuja kuondoka madarakani ila itarudi tena baada ya muda siyo mrefu. Baada ya kurudi, itaendelea kwa kipindi kirefu sana kisichojulikana.Hizo ndo miweweseko yenu wapinzani. CCM Iko imara kipindi chote. Mgawanyiko na mipasuko ndani ya CCM mtasubili saana. Ushindi wa CCM uko pale paleee Hadi miaka 1000 ijayooo.
Hapa duniani kuna nchi mbili tu ambazo hata raia mwingine Mtanzania wa kawaida tu akizitembelea, anakuwa kama Mtanganyika ameenda Zanzibar au Mzanzibar amekuja Tanganayika; ni CUBA NA CHINAThen Why bother kumpeleka Cuba kama lengo ni kumpoteza, si bora kutomteua kabisa kama Makonda?
CCCCM ikitoboa 2026,Uhalisia ambao ninauona mimi hapa ni kwamba ipo siku itakuja kuondoka madarakani ila itarudi tena baada ya muda siyo mrefu. Baada ya kurudi, itaendelea kwa kipindi kirefu sana kisichojulikana.
Kuna siku inaweza ikaja ikaondoka kwa sababu waliozaliwa wakaikuta iko madarakani, na ambao hawajui iliwahi kufanya nini huko nyuma, kwa sasa ni wengi mno. Inaweza ikaja kuondolewa kwa mihemko, ila baadaye itarudi tena
The vice versa is not true.CCCCM ikitoboa 2026,
CDM itapotezwa once and for all.
And vice versa is true.
So wewe uko vizuri kuliko Balozi wa Tz Cuba ama China? If yes wewe ni ass cheekHapa duniani kuna nchi mbili tu ambazo hata raia mwingine Mtanzania wa kawaida tu akizitembelea, anakuwa kama Mtanganyika ameenda Zanzibar au Mzanzibar amekuja Tanganayika; ni CUBA NA CHINA
Anayo haki hiyo. Aliondoka madarakani akiiacha nchi salama; akatuachia na UNIVERSITIES za kutosha. Aliingia madarakani akatukuta tuna UWANJA WA MPIRA TU and NO UNIVERSITIES!Mwenye CCM, mwenye nchi, mwenye system ni JK tu. Mtoto wa mjini. Akishirikiana na na komredi kanali Kinana. Wengine wote wajinga wajinga tu
View attachment 2575777
Ndoto nazo hazikosi, hasa ukiwa makandeUhalisia ambao ninauona mimi hapa ni kwamba ipo siku itakuja kuondoka madarakani ila itarudi tena baada ya muda siyo mrefu. Baada ya kurudi, itaendelea kwa kipindi kirefu sana kisichojulikana.
Kuna siku inaweza ikaja ikaondoka kwa sababu waliozaliwa wakaikuta iko madarakani, na ambao hawajui iliwahi kufanya nini huko nyuma, kwa sasa ni wengi mno. Inaweza ikaja kuondolewa kwa mihemko, ila baadaye itarudi tena