UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

Hofu bana.
Umenikumbusha mambo ya Willy Gamba.
 
Kwa hiyo aliyekuwa balozi Cuba ndiye aliyeliwa kichwa
 
Pongezi kwao kwa kuendelee kuaminiwa na Mhe. Rais.
Wachape kazi kwa masilahi ya Nchi na wananchi sio waende kula raha na kujisahau kama ni watanzania.

Mabalozi walio wengi wapowapo hawana tija Wala faida kwa Nchi, ni lazima mabalozi wazalishe tija kwa Nchi yetu.
 
Watalam, hii fomula ya mama kubadilisha badilisha wateuliwa vituo ana maana gani?!
 
Umeandika lililopo Hata hivyo Polepole hana ushawishi wowote
 

Masikini pole pole ndio ameenda potezwa polepole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…