UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Mkuu umeuliza swali zuri Sana ,binafsi jana nimejiuliza Sana ,ila nikaja kupata jibu kwamba kikawaida hizi nafasi ni muhim Sana kwenye ofisi ya rais , ila mwenda zake wenda hazikuepo labda moja tu ya Mnilikulu, japo nayo Sina huakika wenda kijazi ndo alikua anafanyia KAZI pia ,vinginevyo wenda pesa za mshahara wao zilikuwa zinaenda kwenye mfuko wa mwendazake, na ndo maana Mambo yalikua yanaenda hovyo, Sasa Kama huna washauri muhim Kama Hawa kwamba unajua kila kitu, huwezi kuendesha nchi vizuri, au kufuraia kiti Kama Rais, matokeo yake unakua unalala na mafaili na hayaishi, Basi tu ila ilitakiwa kupima ubongo wa mwendazake kujua IQ yake, tungepata majibu mengi tokana na utafiti huu,
 
Mkuu unatumia ARV? mbona umejawa na hasira kiasi hiki?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah ujinga sana. Yaan tangia jana mada hii hii. Alitakiwa atafute nyuzi zinazofanana na hii asome aelewe na si kujaza seva
 
Zilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupu
 
harufu ya udini ikulu. 6/9 ya wateule wapya ni dini moja na mteuaji. haya mambo lazima yasemwe sasa kabla haijawa too late.
 
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais
 
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais
 
Zilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupu
Zilikuwepo hata wakati wa Mkapa - RIP. Kwa mfano; Kanali Nsa kaisi - RIP amewaikuwa msaidizi wa Mkapa kwenye mambo ya siasa
 
Hiyo namba tatu ni yule mkalimani wa kwenye msiba au??? [emoji72][emoji72]
 
Cheo cha katibu wa Rais kilikuwepo kipindi cha JPM ila hivo vingine alkamua kuachana navyo pamoja na ile idara ya lishe ya Rais aliziondoa.
 
Cheo cha katibu wa Rais kilikuwepo kipindi cha JPM ila hivo vingine alkamua kuachana navyo pamoja na ile idara ya lishe ya Rais aliziondoa.
Kwani kuna ubaya gani mh. Rais kuzirejesha tena hizo nafasi?
 
Kabla ya Magufuli zilikuwepo, wakati wa Magufuli mwenyewe alisema hashauriki sasa ulitaka ateue washauri wakamshauri nini wakati hashauriki ?
 
Kuna tofauti gani kati ya Mdaidizi na Mshauri ? Maana Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigella alikuwa mshauri wa siasa wa JK
 
...hofu yangu bara itamezwa na Zanzibar mda si mrefu...naanza kuyaona ya magufuli na watu wa kanda ya ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…