stineriga
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 2,172
- 887
Soma vizuri heading uzi haufanani na nyingine yoyote jukwaani.Mods unganisha nyuzi kama hizi. Majibu yashatolewa kwenye nyuzi zilizopita lkn mtu anaanzisha upuuzi mwimgine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri heading uzi haufanani na nyingine yoyote jukwaani.Mods unganisha nyuzi kama hizi. Majibu yashatolewa kwenye nyuzi zilizopita lkn mtu anaanzisha upuuzi mwimgine
Mkuu unatumia ARV? mbona umejawa na hasira kiasi hiki?Mods unganisha nyuzi kama hizi. Majibu yashatolewa kwenye nyuzi zilizopita lkn mtu anaanzisha upuuzi mwimgine
ungeandika na kuishia hapa ingetosha kabisa kuonekana upo vizuri kichwani.Mods unganisha nyuzi kama hizi. Majibu yashatolewa kwenye nyuzi zilizopita
na hakuna sehemu nimesema haupo vizuri kichwani.lkn mtu anaanzisha upuuzi mwimgine
Mkuu umeuliza swali zuri Sana ,binafsi jana nimejiuliza Sana ,ila nikaja kupata jibu kwamba kikawaida hizi nafasi ni muhim Sana kwenye ofisi ya rais , ila mwenda zake wenda hazikuepo labda moja tu ya Mnilikulu, japo nayo Sina huakika wenda kijazi ndo alikua anafanyia KAZI pia ,vinginevyo wenda pesa za mshahara wao zilikuwa zinaenda kwenye mfuko wa mwendazake, na ndo maana Mambo yalikua yanaenda hovyo, Sasa Kama huna washauri muhim Kama Hawa kwamba unajua kila kitu, huwezi kuendesha nchi vizuri, au kufuraia kiti Kama Rais, matokeo yake unakua unalala na mafaili na hayaishi, Basi tu ila ilitakiwa kupima ubongo wa mwendazake kujua IQ yake, tungepata majibu mengi tokana na utafiti huu,Sikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Dah ujinga sana. Yaan tangia jana mada hii hii. Alitakiwa atafute nyuzi zinazofanana na hii asome aelewe na si kujaza sevaMkuu unatumia ARV? mbona umejawa na hasira kiasi hiki?
Zilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupuSikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya RaisMkuu umeuliza swali zuri Sana ,binafsi jana nimejiuliza Sana ,ila nikaja kupata jibu kwamba kikawaida hizi nafasi ni muhim Sana kwenye ofisi ya rais , ila mwenda zake wenda hazikuepo labda moja tu ya Mnilikulu, japo nayo Sina huakika wenda kijazi ndo alikua anafanyia KAZI pia ,vinginevyo wenda pesa za mshahara wao zilikuwa zinaenda kwenye mfuko wa mwendazake, na ndo maana Mambo yalikua yanaenda hovyo, Sasa Kama huna washauri muhim Kama Hawa kwamba unajua kila kitu, huwezi kuendesha nchi vizuri, au kufuraia kiti Kama Rais, matokeo yake unakua unalala na mafaili na hayaishi, Basi tu ila ilitakiwa kupima ubongo wa mwendazake kujua IQ yake, tungepata majibu mengi tokana na utafiti huu,
Thread 'Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais' Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya RaisSikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
Zilikuwepo hata wakati wa Mkapa - RIP. Kwa mfano; Kanali Nsa kaisi - RIP amewaikuwa msaidizi wa Mkapa kwenye mambo ya siasaZilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupu
Nitajie alikuwa mshauri wa Diplomasia wa Rais Magufuli?Zilikuwepo tangu kikwete, tofauti yake awamu ya mwendazake aliweka ndugu zake watupu
Hiyo namba tatu ni yule mkalimani wa kwenye msiba au??? [emoji72][emoji72]Sikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
Cheo cha katibu wa Rais kilikuwepo kipindi cha JPM ila hivo vingine alkamua kuachana navyo pamoja na ile idara ya lishe ya Rais aliziondoa.Sikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
Kwani kuna ubaya gani mh. Rais kuzirejesha tena hizo nafasi?Cheo cha katibu wa Rais kilikuwepo kipindi cha JPM ila hivo vingine alkamua kuachana navyo pamoja na ile idara ya lishe ya Rais aliziondoa.
Kabla ya Magufuli zilikuwepo, wakati wa Magufuli mwenyewe alisema hashauriki sasa ulitaka ateue washauri wakamshauri nini wakati hashauriki ?Sikuwahi kuzisikia kabla hizi teuzi kwa marais waliopita au labda nilipitwa.
1. Katibu wa Rais.
2. Msaidizi wa Rais, diplomasia.
3. Msaidizi wa Rais, nyaraka na ukalimani.
4. Msaidizi wa Rais, siasa.
5. Msaidizi wa Rais, maendeleo ya jamii.
6. Msaidizi wa Rais, uchumi.
7. Msaidizi wa Rais, sheria.
Je nafasi hizi zilikuwepo huko nyuma kabla na kwa majina tafadhali. Nawakilisha.
Hata mimi nimeshangaa! Mbona kawa mbogo namna hiyo? Kwa kweli JF kuna majitu mengi ya hovyo hovyo!Mkuu unatumia ARV? mbona umejawa na hasira kiasi hiki?
...hofu yangu bara itamezwa na Zanzibar mda si mrefu...naanza kuyaona ya magufuli na watu wa kanda ya ziwaRais ametoa salaam hasa za Jamhuri ya Muungano kwa kuteua wasaidizi toka Zanzibar na Tanganyika.
Kero za Muungano zinazidi kupunguzwa na Muungano kuimarishwa kwa kutosahau wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano lazima waonekane kutoka pande zote mbili.