Naomba wnaofahamu itifaki za ikulu wanieleweshe haya;
1. Nini maana ya ofisi binafsi ya Rais?
2. Je kuna idadi maalum ya idara,wahudumu na watumishi waliooanishwa katika kanuni/sheria yoyote?
Ni vizuri mtuelimishe Wananchi tujue tusiwe tunalalamika kumbe labda yameainishwa mahali kisheria.
Nimeuliza baada ya kuona uteuzi wa waasaidizi unaoongezeka siku hadi siku na hii ni gharama kwa kodi zetu.