UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

Ameteua mpaka mshauri wake wa uchumi lakini makamasi matupu
 
Hivi hawa viumbe wanakazi gani huko Ikulu? Leo anasema Kabudi na Lukuvi tena watakuwa ikulu
 
Naomba wnaofahamu itifaki za ikulu wanieleweshe haya;

1. Nini maana ya ofisi binafsi ya Rais?
2. Je kuna idadi maalum ya idara,wahudumu na watumishi waliooanishwa katika kanuni/sheria yoyote?

Ni vizuri mtuelimishe Wananchi tujue tusiwe tunalalamika kumbe labda yameainishwa mahali kisheria.

Nimeuliza baada ya kuona uteuzi wa waasaidizi unaoongezeka siku hadi siku na hii ni gharama kwa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom