UTEUZI: Rais Samia ateua Katibu wa Rais, Mnikulu na wasaidizi wake wa Uchumi, Sheria, Siasa, Diplomasia n.k

HAINA SHIDA HIYO IKO SAWA. YAANI UTEUZI WAO ULIANZIA TAREHE HIYO ILA KUTANGANGAZWA WAMETANGAZWA LEO. IKO SAWA TU YAWEZEKANA KABISA MTU AKATEULIWA SIKU ZA NYUMA NA AKAANZA KAZI RASMI TAREHE HIYO ISIPOKUWA UMMA UKAJUULISHWA BAADAE
 
Kila Rais huteua na kutangaza hizo ni proffesiinal post kina January walihudumu na JK ndiko alikotokea
 

..kwenye nchi za wenzetu watumishi wote wa umma rekodi zao huwekwa wazi ikiwa ni pamoja na mishahara wanayolipwa.

..kwa Tz siyo jambo baya wote wanaoteuliwa na Raisi wakajulikana; wakati wanateuliwa, na wakati wanaacha majukumu yao.

..kwakuwa watumishi wa umma wanalipwa kwa kutumia kodi za wananchi, basi walipa kodi / wananchi wana haki ya kutaarifiwa kila wakati ambapo Raisi amefanya uteuzi wa watumishi wa umma.
 
Hivi hiyo nafasi ya mnikulu awamu ya hayati JPM alikuwa nani?
Kama ukiangalia mazishi ya dead stone, yule aliyeongea neno la shukrani kama mwakilishi wa familia pale baada ya mazishi makaburini ndio alikuwa Mnikuku. Naona jiwe aliamua kuweka ndugu yake maana hicho cheo unakuwa more or less of beki tatu uliyechangamka tu sasa aliona akiweka asiyemjua wangemmaliza fasta.
 
Huyu amekuwa msaidizi wa mama toka akiwa VP so ni kama ameamua kumvuta aendelee nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…