Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Nasubiria upande wa jikoni kama nitateuliwa, awamu ya Mzee wa Msoga wafanyakazi wa jikoni tu walikuwa wanajaza coaster 2, Jiwe alivyoingia akafunga kitengo na kusema atakuwa anapikiwa na Mama Janeth, sasa naona neema inarejea, nutritionists tutafikiriwa labda!
Elimu ya Ngusa mpaka sasa bado haifahamiki.Huyu amekuwa msaidizi wa mama toka akiwa VP so ni kama ameamua kumvuta aendelee nae.
Nami nashangaa.Wasaidizi wa Ndani kuna haja ya kututangazia umma? Nileteeni Gwajima.....!!!!
alikua Ustadh tongweHivi hiyo nafasi ya mnikulu awamu ya hayati JPM alikuwa nani?
Kazi ya mnikulu huwa ni nini,na hili neno kwa kiinglish linatamkwaje?Hivi hiyo nafasi ya mnikulu awamu ya hayati JPM alikuwa nani?
Nakuonaga muda mwingi pale kwenye hardware ya Mzee mgaya kwenye lile bench pale,kumbe mkuu unakula pensheni taratibu.Mimi ni mstaafu bwashee.
Huyu Blandina nimewahi kumuona pale Ufipa, leo kala shavu magogoni!
Huyu ni mtoto wa Prof Kilama aliyekuwa DG NIMR? Naona majina yamefanana na mtoto wake mmojaBlandina Kilama
Blandina Kilama is a PhD candidate with the Tracking Development Project at the African Studies Centre in Leiden. Her PhD research takes a case of cashew industry in Tanzania, comparing it with the same in Vietnam from 1960 to 2006. It seeks to draw lessons from agriculture diversification in alleviating poverty. Currently working as a researcher with Research on Poverty Alleviation (REPOA), policy research institute based in Tanzania, she has worked on various pieces of analytical research involving secondary and survey data, such as the poverty mapping, the poverty and human development reports, patterns of urban migration, etc. She has also implemented a number of field-based surveys at regional and national levels. She holds a Master's in Public Administration in International Development (MPA/ID) from John F. Kennedy School of Government, Harvard University, and a Bachelor of Arts in Economics from University of Dar es Salaam.
On 7 March Blandina Kilama defended her PhD thesis on "The diverging South : comparing the cashew sectors of Tanzania and Vietnam".
Dr. B. (Blandina) Kilama
Former PhD Student
Na katibu wa Rais/KR alikuwa nani?Ngusa Dismas Samike
Limetoka katika lugha ya kisukuma - mtu anayefanya kazi kwa mtemiKweli kiswahili kimepanuka 'mnikulu' ndiye mtu gani hapo Ikulu
Nileteeni GwajimaaaaaaWasaidizi wa Ndani kuna haja ya kututangazia umma? Nileteeni Gwajima.....!!!!
Alikuwa msemaji wa familia wakati wa msibaKwahiyo huyo jamaa alikuwa msemaji wa family halafu mnikulu wa Ikulu.
Daaa hatari sana. Sasa hivi atabaki na cheo kimoja msemaji wa family
Mapalage/michembeAende sasa akale michembe na maparage.
With all due respect madame President, Mbona wasaidizi wengi?mi nirifikiri wasaidizi/washauri wako ni mawaziri?mbona unatengeneza mavyeo Mengi?
Religious biased