Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chato inapukutishwa tuHongera wote mlioteuliuliwa ,Chapeni kazi hasa msimuangushe Raisi wetu
Kwani yameandikwa makabila yao? Hao wateuliwa ni ni wachaga wenzio au?Chato inapukutishwa tu
Alikuwa yule mpwa wake Jiwe anaitwa Ngusa Samike.Hivi hyo nafasi ya mnikulu awamu ya hayati jpm alikua nani
😆😆😆 Mkuu naona baada ya mwendazake kuondoka umerudi kwa kishindo! Karibu sanaAlikuwa yule mpwa wake Jiwe anaitwa Ngusa Samike.
Amerudishwa Chato kwa sasa anapigwa vumbi tu.
Sikuoni kwenye teuzi, shida gani unayo? Au nyita haiwaki?Ni jambo jema!
Nashangaa huyo anasema president anapendelea ila walivyojazana ndugu Ikulu ilikuwa safi tuAlikuwa yule mpwa wake Jiwe anaitwa Ngusa Samike.
Amerudishwa Chato kwa sasa anapigwa vumbi tu.
Ngusa Dismas Samike
Mimi ni mstaafu bwashee.Sikuoni kwenye teuzi, shida gani unayo? Au nyita haiwaki?
Naona Sukuma gang wanaendelea kupeta tu.System inatengenezwa vizur hapo, great
Discourse Analysis, Language and Gender, Language and the Media, Language of Propaganda
Mimi ni jiweeeeeeeeeeeeHongera wote mlioteuliuliwa ,Chapeni kazi hasa msimuangushe Raisi wetu
Aende sasa akale michembe na maparage.Mwanafamilia 'Kindakindaki' wa Hayati.
CCM ni ile ile ooooooh ni ileeeeeeee.×3Nani kama mama?
View attachment 1754085