Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

Nataka kuona kaondoa hawa maafisa waandamizi wa ngazi za juu JWTZ wote ‘wagalatia’ toka Bara ataleta akina nani toka wapi!

Kuna kitu nafanyia tafiti teuzi za watakao ziba nafasi zao zitahitimisha tafiti yangu

Kumbuka hawa Major -Generals wawili nafasi zao ni muhimu sana ktk JWTZ.Mmoja ndiyo mkuu wa utumishi JWTZ nafasi nono sana kiutendaji na mwingine mkuu wa kamandi ya jeshi la majini,nafasi ya maana sana.

Wataletwa akina nani kujaza hizi nafasi?
 
Bro tafiti utaishi vipi utakapostaafu na sio kutafiti mambo yasiyo na tija na maisha yako
 
Haitatangazwa aisee ila we'll keep our eyes open
 
Wote walipokuwa Wagalatia sio shida ila shida itaanza Wakiwa Waislamu? Hapo utafiti utakuwa umekamilika au? Rais leta wa dini Yako kama ndio unawaamini usisikilize Hawa wapuuzi wa humu..

Sio Wala sitokuja kuwa Muislamu ila Kwa mwenendo wa Nchi hii Toka uhuru, Wakristo ni makatili na washenzi wakubwa wamekuwa wakivuruga maisha sana..

Ningekuwa na uwezo ningesema Waislamu ndio wawe wanakuwa Marais,huu ni ukweli mchungu ambao Wakristo wengi wanasema kimoyo Moyo..
 
DUH..., kumbe bado hatuna KE wa kutosha kwenye baadhi ya maeneo!, ila pia hii ya 3/5 ni upuuzi tuu, there was time ngoma kama hizi zilikuwa zinapigwa hadi 8/2 and no one complained!, sasa zinafanyika juhudi za standardization kwa affirmative action, watu wana complain!.
P
 
Mimi ni Mkristo ila nasadiki maandishi yako, wengi wa imani yetu wakishika hiko kiti lazima wafanye ya kusikitisha.
 
Waislam watano (5) na wakristo watatu (3) ngoja amalize kipindi chake cha mpito, hii ni kusudi tu ili kuleta public debates as spinning for public deviations.
Hebu ondoa huu upuuzi humu toka lini Tz tumeanza kuhesabu huyu dini gani na huyu dini gani? sheria gani inaongelea 50/50? kama unaenda huko labda ungeweka wafanyakazi wote serikalini kama utapata hiyo 50/50. Tanzania hatujawahi kuongelea udini na hata wakati wa Nyerere wakati waislamu walikuwa wakilalamika Nyerere kuwatenga na nilipinga hilo sababu viongozi walikuwa wanateuliwa kwa sababu zingine lakini sio udini mbona baraza la mawaziri kuna wakristo 15 na 9 tu waislamu nani aliwateua hawa, sio Rais Samia? alitumia udini? acha hizo wameteuliwa sababu wana uwezo hakuna udini.
 
Mimi ni Mkristo ila nasadiki maandishi yako, wengi wa imani yetu wakishika hiko kiti lazima wafanye ya kusikitisha.
Kwanza ndio hata wamewalazimisha hata Waislamu kuwa wezi,sio hulka Yao..

Huku Kwa Wakristo hakuna hata hofu ya Mungu ni waigizahi ndio maana wanaishia kuwa Majiji,makatili na wasiojali utu wa wengine na Haki..

Hili jambo Huwa nimekuona hata maofisini japo shida ya Waislamu Baadhi Yao ni kutaka Kila mtu afuate dini Yao but Kwa walioelimika Wana nafuu Wakiwa mabosi kuliko Hawa wa dini yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…