Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

Wakati huo Slaa yuko na drip na minyororo hajala toka jumamosi, anazuiliwa kuonana na wakili wake na hapelekwi mahakamani
 
Huyu karavina sio Mzanzibari ??.
Kama ni ndio anaingiaje TRC?
Nauliza tu?
inawezekana tu Sasa mwenyewe umeiona Abduliiii amekwenda kuwakilishi wizara ya nishati pale Uganda ,hili ni GENGE au kikundi kinachoiba rasilimali za taifa
 
Analipa mishahara anakusanya mapato Nchi ina amani karuhusu mijadala ya wazi karuhusu vyombo vya habari nk nk
Hajaruhusu ni takwa la kikatiba, rais hatakiwi kukataza kitu kinachoruhusiwa kikatiba
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania.

li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)

View attachment 2719327
BANDARI zetu ni URITHI wetu, hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni,

Kununua bandari ni kununua UPUPU na kujipaka ukidhani ni PAWDER!!!

Epuka matapeli 🙏🙏🙏🙏
 
Hongera zao. Prof. Mchome ni moja ya vichwa adimu sana hii nchi imejaliwa kuwa nao. Aliwahi kunifundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Yupo vizuri sana
Ni vyema na ni bahati kwake, na nikushukuru kuwa umekuwa chanya kuhusu "vichwa adimu" nchini, ila kwa mabandiko yako sidhani kama Prof Mchome will share the same sentiments🤭

Bahati mbaya akili yako ndio ilikuwa adimu wakati akikufundisha🤪😜🤪😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom