LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
We unadhani ule ujumbe wa CDF toka kwa Hayati Magufuli kwenda kwa mama Samia hauhusiki hapa? 😀 😀Kifupi Bashiru Ali katolewa kwenye Chama na Magufuli aachie chama wengine wenyewe wenye chama Na Raisi Samia kamtupa nje ya serikalu aende huko bungeni . now Case closed.Thanks Mama Samia
Watanzania tuko fit