UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Kifupi Bashiru Ali katolewa kwenye Chama na Magufuli aachie chama wengine wenyewe wenye chama Na Raisi Samia kamtupa nje ya serikalu aende huko bungeni . now Case closed.Thanks Mama Samia

Watanzania tuko fit
We unadhani ule ujumbe wa CDF toka kwa Hayati Magufuli kwenda kwa mama Samia hauhusiki hapa? 😀 😀
 
Bashiru mwezi wa 2 alikuwa anaishi nyumba ya Katibu mkuu CCM ya chama, mwezi wa 3 akahamia nyumba ya Katibu mkuu kiongozi na leo anahamia nyumbani kwake Msewe barabara ya chuo kikuu[emoji23][emoji23][emoji23] Hakika huu ni utalii wa ndani.
Buhhhhhh
 
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Mjinga pekee ndiye anaweza kukata tawi alilokalia ...hilo kundi haliwezi pia asijaribu hana ubavu wa kupambana nao
 
Kwa kweli nchi hii inahitaji katiba iliyonyooka mana tutakuwa tunaenda mbele tunarudi nyuma...hongera mkuu Hussein Kattanga kwa teuzi...
 
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Sukuma gang kwisha habari yake.
Akitolewa financier Dotto watakua hawana kitu labda wachangishane pesa ya pamba
 
Yule kada hakuwa na sifa za kutosha kuwa Katibu Mkuu Kiongozi pamoja ya kuwa mwendazake John Pombe Magufuli (RIP) alijaribu kumuinua kwa kumpachika kila aina ya vyeo chamani na serikalini ikiwemo ubalozi lakini hakuwa anatosha tukisoma CV za waliowahi kuwa maKatibu Mkuu Kiongozi.
Kabisaa
 
Kifupi Bashiru Ali katolewa kwenye Chama na Magufuli aachie chama wengine wenyewe wenye chama Na Raisi Samia kamtupa nje ya serikalu aende huko bungeni . now Case closed.Thanks Mama Samia

Watanzania tuko fit
Kwahiyo kumbe ulikuwa hupendezwi na nafasi za Bashiru ndani ya chama na serikali?
 
Duh.....Yaani jamaa amedumu wiki 3 tu kwene nafasi hii ya KMK..!!!!!
Something big is being cooking!!! Kuna 2 hapa:
  1. Yawezekana Bushiri Ali anatupwa Japan...!!
  2. Reshuffle ya Baraza la Mawaziri inanukia na huyu Bushiri akapachikwa kwenye Uwaziri au PM....???
Let's wait and see.......!!?
PM hawezi kuwa, maana sharti ubunge wake utokane na sanduku la kura, siyo wa kuteuliwa ili atoshee kuteuliwa kuwa pm
 
1617210575326.jpeg

Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.

Back
Top Bottom