UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Kifupi Bashiru Ali katolewa kwenye Chama na Magufuli aachie chama wengine wenyewe wenye chama Na Raisi Samia kamtupa nje ya serikalu aende huko bungeni . now Case closed.Thanks Mama Samia

Watanzania tuko fit
We unadhani ule ujumbe wa CDF toka kwa Hayati Magufuli kwenda kwa mama Samia hauhusiki hapa? 😀 😀
 
Bashiru mwezi wa 2 alikuwa anaishi nyumba ya Katibu mkuu CCM ya chama, mwezi wa 3 akahamia nyumba ya Katibu mkuu kiongozi na leo anahamia nyumbani kwake Msewe barabara ya chuo kikuu[emoji23][emoji23][emoji23] Hakika huu ni utalii wa ndani.
Buhhhhhh
 
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Mjinga pekee ndiye anaweza kukata tawi alilokalia ...hilo kundi haliwezi pia asijaribu hana ubavu wa kupambana nao
 
Kwa kweli nchi hii inahitaji katiba iliyonyooka mana tutakuwa tunaenda mbele tunarudi nyuma...hongera mkuu Hussein Kattanga kwa teuzi...
 
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Sukuma gang kwisha habari yake.
Akitolewa financier Dotto watakua hawana kitu labda wachangishane pesa ya pamba
 
Kabisaa
 
Kifupi Bashiru Ali katolewa kwenye Chama na Magufuli aachie chama wengine wenyewe wenye chama Na Raisi Samia kamtupa nje ya serikalu aende huko bungeni . now Case closed.Thanks Mama Samia

Watanzania tuko fit
Kwahiyo kumbe ulikuwa hupendezwi na nafasi za Bashiru ndani ya chama na serikali?
 
PM hawezi kuwa, maana sharti ubunge wake utokane na sanduku la kura, siyo wa kuteuliwa ili atoshee kuteuliwa kuwa pm
 
Hahahahahaha wanafanana tu sidhani kama wana undugu.
Mbona ana fanana na Majariwa? au Ni Mdogo wake??? Asije kuwa nae Muongo muongo kama Kassim!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…