I agree with you, that the two young men are just parrots. Sometimes they forget that all Tanzanians whether in the opposition or not are citizens and need to be respected. I have several times noted their utterances having an air of pomposity and trying to to show they care for none except CCM and its members. Such utterances are dangerous and divisive..Hata mshahara wa katibu mkuu bado hajaupata.
Tunaomba wasifu wa Balozi Katanga
Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
Bashiru is still young, all he has to do is be graceful and not become a full like Makamba & Co., who thought they greater than the man who made them great and now they politically insignificant. They thought they were "creme de la creme" only to fall ungracefully.Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Hana sifa Bashiru ya kuwa katibu kiongoziMama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Ndio unavyojidanganyaeeeAnakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Nenda jando mzeee govi linakuwasha unaongea vepaBaraza jipya ,Sukuma gang wanaendelea kupeta kwa sababu ndiyo wenye akili zaidi.
nonsense 🙏🙅You mean to say ; From Ashes to Glory!
KMK hana sauti zaidi ya opinions! Which are either taken or ignored! Depends on the hands currently running!
Mbunge is as free as a white collar criminal!
Ndugu zangu Wasukuma tumewakosea nini jamani? Mbona mnatushughulikia namna hiyo? Inakuwaje Bashiru naye mnamweka kwenye kundi la Wasukuma aiseee? Sisi ni ndugu zenu wa damu jamani, au nasema uongo ndugu zangu?Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Hapo kutoka ukatibu mkuu kiongozi kwenda ubunge ni kuporomoshwa. Yaani utoke Ikulu uende bungeni kutembea na ka gari ka mkopo na dereva tu halafu unampongeza?Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P
Na pengine ww huenda ikawa ni miongoni mwa watu wenye bahati ambae nyota yake imeng'aa gafla ndani ya miaka 6 au 7 umeshika nafasi za juu kabisa za uteuzi.
Ukianzia KM CCM, KMK na sasa MP
Kongole mwanazuoni mtaalam wa sayansi ya siasa.
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Amehurumiwa tu coz ndo tumemaliza uchaguzi juzi na aliplay role kubwa kwenye ushindi wa CCM....vinginevyo angesubiri kupangiwa kazi nyingine daima dumu kama Sefue.Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Mama hatufai na atatawaliwa na walio chini yake.Jana nimeenda kwenye Ubalozi kusaini kitabu fulani nimepata taarifa nyeti, Kakulwa alipaswa awe kizuizini
Hapana Mkuu kuna Backup ya Kutosha kutoka kwaMama hatufai na atatawaliwa na walio chini yake.