UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Hata mshahara wa katibu mkuu bado hajaupata.
I agree with you, that the two young men are just parrots. Sometimes they forget that all Tanzanians whether in the opposition or not are citizens and need to be respected. I have several times noted their utterances having an air of pomposity and trying to to show they care for none except CCM and its members. Such utterances are dangerous and divisive..
 


Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.


Tunaomba wasifu wa Balozi Katanga
 
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Bashiru is still young, all he has to do is be graceful and not become a full like Makamba & Co., who thought they greater than the man who made them great and now they politically insignificant. They thought they were "creme de la creme" only to fall ungracefully.
 
Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!

You mean to say ; From Ashes to Glory!

KMK hana sauti zaidi ya opinions! Which are either taken or ignored! Depends on the hands currently running!

Mbunge is as free as a white collar criminal!
 
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Ndugu zangu Wasukuma tumewakosea nini jamani? Mbona mnatushughulikia namna hiyo? Inakuwaje Bashiru naye mnamweka kwenye kundi la Wasukuma aiseee? Sisi ni ndugu zenu wa damu jamani, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hili la KMK kuondolewa juujuu ni kibao cha usoni kwa marehem na ishara kuwa marehem alikuwa anafanya mambo kivyake bila kumshirikisha mama.
 
Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P

Na pengine ww huenda ikawa ni miongoni mwa watu wenye bahati ambae nyota yake imeng'aa gafla ndani ya miaka 6 au 7 umeshika nafasi za juu kabisa za uteuzi.

Ukianzia KM CCM, KMK na sasa MP
Kongole mwanazuoni mtaalam wa sayansi ya siasa.
Hapo kutoka ukatibu mkuu kiongozi kwenda ubunge ni kuporomoshwa. Yaani utoke Ikulu uende bungeni kutembea na ka gari ka mkopo na dereva tu halafu unampongeza?

Yaani utoke ukatibu mkuu wa chama....utoke ukatibu wa baraza la mawaziri hadi mbunge bado upongezwe?

Au ni kwakuwa baadhi yetu tunaona ubunge ni ishu sana?
Utoke kuwa bosi wa wabunge wote wa CCM na kuwa una uwezo wa kuwaamrisha mawaziri hadi ubunge wa kawaida tena wa kuteuliwa halafu upongezwe!!?

Labda kama unamchora.
 
Jana nimeenda kwenye Ubalozi kusaini kitabu fulani nimepata taarifa nyeti, Kakulwa alipaswa awe kizuizini
Mama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.

Msishangae akampa uwaziri.

Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
 
Anakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Amehurumiwa tu coz ndo tumemaliza uchaguzi juzi na aliplay role kubwa kwenye ushindi wa CCM....vinginevyo angesubiri kupangiwa kazi nyingine daima dumu kama Sefue.
 
Demotion ni kitu pekee ambacho mtu huwezi kufurahia, kutoka white house mpaka kwenda kupangiwa na spika uongee au usiongee.
Kila la kheri Dr Bashiru katika majukumu mapya ya ubunge, hakika umeula.
 
Kama namuona Bashiru wiki hii akijiunga bando la wiki na kuanza kumpigia simu Waziri Nchemba akitaka amuelekeze mahali anapopatikana Mganga wake..
 
Back
Top Bottom