Hana issue maza ni walewale hawezi kuleta mabadiliko kabisaHuyo amewekwa kiporo kidogo...kuna dude linasukwa
Pia ile nafasi ni lazima uwe na chemistry na Rais aliyepoH Katanga anauwezo mkubwa
Inawezekana zile tuhuma na kutaka kumu-overthrow Mama au wizikuwa kuna moja au zote ni za kweli.Aibu kubwa sn katumikia mwezi mmoja.
Sure mkuuPia ile nafasi ni lazima uwe na chemistry na Rais aliyepo
Kwa hiyo vyeo tu vinaonesha balozi ni TISSBa
Balozi Katanga kutoka DED- Kinondoni Municipal, RAS, Mtendaji Mkuu Idara ya mahakama, Balozi and now Chief Secretary! Hongera sana.
......KiongoziKatibu mkuu
Hahaha......Kiongozi
Siku zake 100 za kwanza kwenye urais ndiyo zitaamua hatma yake.Mama sio strong ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Huku ndo kunaitwa kutiana moyoKongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P...