Bora hata apewe uwaziri kuliko kumwacha pale alipokuwa. Ilikuwa hatari.Kongole kwako Dkt.Bashiru Ally kwa uteuzi wa Ubunge hakika hapo ulipo sasa ni swala la muda tu pengine tusishangae kusikia ukiteuliwa nafasi ya uwaziri , usidhohofike kutoka nafasi ya KMK hadi M.P.....
Kwani uwaziri unauzoefu,kumbuka kabudi alivyoteuliwa ubunge then uwaziri hapohapoAnakwenda kupata uzoefu bungeni then ampe uwaziri
Ni sawa na kusema mwajiri ama bosi wa taasisi kawa mwajiriwa katika ofisi nyingineHapo kashushwa hapo kutoka CEO wa Ikulu mpaka kuwa mbunge duu.
Duakitaka aache ha ha ha ha na ving'ola leo hakuna analudi nyumbani anakuta hadi walinzi wameondoka
niliyokuwa nayatumia kukalia nimeyakata dada yangu labda uniazime yako kama yatafaa....Utakalia hayo hayo huku ukiburuzwa kenge wewe.
Mtaburuzwa sana kenge nyinyiniliyokuwa nayatumia kukalia nimeyakata dada yangu labda uniazime yako kama yatafaa....
ng'ombe gang!
Kwa nafasi aliyokuwa nayo huwezi ukamtoa halafu umrudishe nyumbani acheze na watoto,ni bora bungeni akatengeneza hoja kwa serikaliKama kweli amemuacha Bashiru Ali kwa sababu ya zile tuhuma atakuwa amekosea sana.
Tuhuma zile kama zina ukweli Bashiru hakustahili uteuzi wa aina yoyote.
Sasa huyu Samia ndiye tumuidhinishe atawale milele sio yule waliyekuwa wanamtaka!Hii nchi ili itawalike kwa uzuri ni sharti katiba ifanyiwe marekebisho. Rais ana mamlaka ya kufanya ajuavyo yeye na si kufuata sheria
Basi wangempa hata ubalozi ili akae mbali na Ikulu.Kwa nafasi aliyokuwa nayo huwezi ukamtoa halafu umrudishe nyumbani acheze na watoto,ni bora bungeni akatengeneza hoja kwa serikali
kuburuzwa sawa ila sio na mi ng'ombe gangMtaburuzwa sana kenge nyinyi
anaenda kubishana na wakina msukuma na kibajajMwalimu wangu Bashiru amekula demotion
kwa wachimba mchangaJafo kaenda wapi
Mkuu kila mtanzania ana haki ya kutumikia nchi.Baraza jipya ,Sukuma gang wanaendelea kupeta kwa sababu ndiyo wenye akili zaidi.
Hapana, alikuwa mkurugenzi wa tume ya mahakamaHuyu aliye take over kwani siyo mwanasiasa?