UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Hapa nampongeza Mama Samia,Niliwahi kuwaza kwamba Marehemu alitumia emotion kumteua Bashiru kuwa katibu mkuu, yaani alipewa ubalozi kwa ajili ya cheo. Ukiacha tuu kwamba ni hatari kumuweka Mhaya Ikulu, bado tuu alikuwa hajafikia vigezo vya kawaida kabisa. Sababu yule ni academician mkuu.

Nawapongeza wote kwa kupata nafasi mpya
 
Katanga ni tiss alisikika akisema mtoto wa ngalalekumtwa.
 
Bunge sasa ni kama benchi la mpira hakuna cha maana kule
 
Yani jamaa amekula mshahara mmoja tu..hajazifaidi hata per diem za ikulu
 
Vipi kamnyang'anya pia na Ubalozi, au bado tumuite Balozi Bashiru Ally? 🤣😂🤣
 
Hii nchi ili itawalike kwa uzuri ni sharti katiba ifanyiwe marekebisho. Rais ana mamlaka ya kufanya ajuavyo yeye na si kufuata sheria
Mkuu Katiba inatakiwa ibadirishwe yote siyo marekebisho..
Unaweza kumzomea mgombea urais wa chama furani kwenye kampeni, siku akishinda anakutafuta alikulipizie.
Utakula makonzi mpaka kichwa kichakae
 
Sidhani kama ni sahihi kujivunia kabila lako mbele ya watanzania wenzako!

Najivunia kuwa mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…