UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Hapa nampongeza Mama Samia,Niliwahi kuwaza kwamba Marehemu alitumia emotion kumteua Bashiru kuwa katibu mkuu, yaani alipewa ubalozi kwa ajili ya cheo. Ukiacha tuu kwamba ni hatari kumuweka Mhaya Ikulu, bado tuu alikuwa hajafikia vigezo vya kawaida kabisa. Sababu yule ni academician mkuu.

Nawapongeza wote kwa kupata nafasi mpya
 
Katanga ni tiss alisikika akisema mtoto wa ngalalekumtwa.
 
Vipi kamnyang'anya pia na Ubalozi, au bado tumuite Balozi Bashiru Ally? 🤣😂🤣
 
Hii nchi ili itawalike kwa uzuri ni sharti katiba ifanyiwe marekebisho. Rais ana mamlaka ya kufanya ajuavyo yeye na si kufuata sheria
Mkuu Katiba inatakiwa ibadirishwe yote siyo marekebisho..
Unaweza kumzomea mgombea urais wa chama furani kwenye kampeni, siku akishinda anakutafuta alikulipizie.
Utakula makonzi mpaka kichwa kichakae
 
Kufuatia kugogo na baadhi ya Chadema wenye wivu kuwashambulia mawaziri waliowaita kuwa ni Sukuma gang na walikuwa wakimpangia rais Samia awatumbue wote, ndoto zao zimeenda kinyume kwani wameendelea kupeta wote na wako tayari kuwanyiosha mafisadi kuanzia wezi wa dawa hadi wezi wa kodi za wananchi.

Sukuma gang ndiyo waliorejesha nchi hii kwenye msitari kwa sababu wana msimamo na akili nyingi .

Sukuma gang they can command respect kitu ambacho wenzetu wa milimani na midundiko hawawezi.
Sidhani kama ni sahihi kujivunia kabila lako mbele ya watanzania wenzako!

Najivunia kuwa mtanzania
 
Back
Top Bottom