Ahahahah ukifanya tafsiri SISISI ya neno Katerero kwa Kiswahili utasema KAPIGIO.Kwaheri Kakurwa🤣🤣 wasalimu katerero
Nimekuelewa mkuu[emoji122][emoji122]Sahauni hii ni vita mama tiali anautazama uraisi si kwa awamu moja bali kwa awamu mbili ndio maana anajaribu kupangua watu wa makundi ambayo katika safari yake ya kisiasa yanaweza kumkwamisha
Tazama nafasi kama TAMISEMI kuwa ummi
Huyu mama ni strategy ya mama mkuu kustabalize mikoani hadi wilayani kwa kutengeneza mtandao wake
Nafasi ya katibu kiongozi ni strategy ya mama
Hapa tunaona kuwa bashiru kateuliwa kuwa Mbunge lakini hii ni danganya toto mama anatumia akili na hesabu kubwa hapa bashiri katumbuliwa kwa ganzi ili maumivu sisi tusiyaone lakini kitendo cha bashiru kupelekwa bungeni ni sawa ametupwa kwa sasa hana ushawishi tena kwenye serikali na kwenye chama.
Tusubili mama atakapo teuliwa kuwa mwenyeketi hapo hutaona mazishi ya Bashiru na polepole kisiasa ndio kwa heli.
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Bado wanacontrol wizara zile - Nishati na MadiniMama sio strong enough ku-deal na hawa watu.Huyu alipaswa kuachwa kam alivyo tu na si kupewa ubunge.
Msishangae akampa uwaziri.
Huyu mama sijui kama ataweza kulipiga chini lile kundi la SUKUMA GANG.
Uko sahihi Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki MamaMmm sawa,mama naona mama ameamua kuirudisha nchi mahala pake.
Kapewa kazi afanye, hajasaidiwa wala kushushwando kasaidiwa kidizainii au
Mkuu kwa nini unatutusi, kwani sisi sio wa tz,?acha ubaguzi bwanaHapa nampongeza Mama Samia,Niliwahi kuwaza kwamba Marehemu alitumia emotion kumteua Bashiru kuwa katibu mkuu, yaani alipewa ubalozi kwa ajili ya cheo. Ukiacha tuu kwamba ni hatari kumuweka Mhaya Ikulu, bado tuu alikuwa hajafikia vigezo vya kawaida kabisa. Sababu yule ni academician mkuu.
Nawapongeza wote kwa kupata nafasi mpya
Hapana Mkuu, ninyi ni watu wazuri sana waungwana mno sema yale mambo ya mpe mruke mpe mruke ndiyo ninayochukia.Ila sina tatizo kabisa na WahayaMkuu kwa nini unatutusi, kwani sisi sio wa tz,?acha ubaguzi bwana
Kapokea bana. Ila hajatumwa hata nje ya nchi.Kakurwa hata mshahara wa kwanza wa Katibu Kiongozi haujaingia
Uko sahihi mkuu katiba hii ni mbovu sanaMkuu Katiba inatakiwa ibadirishwe yote siyo marekebisho..
Unaweza kumzomea mgombea urais wa chama furani kwenye kampeni, siku akishinda anakutafuta alikulipizie.
Utakula makonzi mpaka kichwa kichakae
Niangalia watu wenyewe mnaomuonea wivu Bashiru na kusema ameisha nawaonea huruma kweli.Itakuwa kweli na tatizo alimpangia SSH safari ya kwenda kuzindua miradi Tanga, wakati anajua kabisa kuwa JPM ni mgonjwa. Hujuma zimegonga mwamba. Kwisha habari yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kuwa mbunge ni akafie mbali?Akafie mbali
Wenzio wanaangali mpunga wewe unaangalia jina la cheo!Kutoka Katibu Mkuu wa CCM, Katibu Mkuu Kiongozi hadi mbunge wa kuteuliwa hii inaitwa from GLORY to ASHES!
Duh.....Yaani jamaa amedumu wiki 3 tu kwene nafasi hii ya KMK..!!!!!Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.