UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.

Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
Kabisa! Mama anaheshimu sana sheriaaa! Mi 10 tena kwake!
[emoji205][emoji205][emoji205]
 
Kwa ujinga aliofanya tar 12 na 13 yeye na mwenzake..kuteuliwa kuwa mbunge ameheshimiwa sawa ...mwenzake hatamaliza kipindi kilichobaki..washenzi, sana hawa...
Bila shaka mwenzake ambaye ulisema hatamaliza ndo yule jamaa aliyekuwa anauza spika.
 
Back
Top Bottom