Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakatwa mizizi kidogokidogoKatibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.
Kabisa! Mama anaheshimu sana sheriaaa! Mi 10 tena kwake!Kitendo cha kutengua uteuzi au nafasi ya Bashiru Ali Kakurwa kutoka nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi hadi kuwa mbunge ni kitendo cha kuonyesha kujali na kuheshimu utawala wa kisheria.
Nafasi ya Katibu Mkuu kiongozi haipaswi kukaliwa na mwanasiasa kama alivyo Bashiru Kakurwa.
SanaaaaMmm sawa,mama naona mama ameamua kuirudisha nchi mahala pake.
SanaaaaH Katanga anauwezo mkubwa
Tulia mkuuSanaaaaa
Hehehe hata mwaka haujaisha aseeTulia mkuu
Kweli aseeHehehe hata mwaka haujaisha asee
Hua nikiona jambo linashangiliwa na baadhi ya watu, hua nachagua kulipinga
Maana najua mwisho wake.
Bila shaka mwenzake ambaye ulisema hatamaliza ndo yule jamaa aliyekuwa anauza spika.Kwa ujinga aliofanya tar 12 na 13 yeye na mwenzake..kuteuliwa kuwa mbunge ameheshimiwa sawa ...mwenzake hatamaliza kipindi kilichobaki..washenzi, sana hawa...
RIP E. KWANDIKWA!!?Kwa ujinga aliofanya tar 12 na 13 yeye na mwenzake..kuteuliwa kuwa mbunge ameheshimiwa sawa ...mwenzake hatamaliza kipindi kilichobaki..washenzi, sana hawa...
Unamzungumzia ELIAS K.!!?Kwa ujinga aliofanya tar 12 na 13 yeye na mwenzake..kuteuliwa kuwa mbunge ameheshimiwa sawa ...mwenzake hatamaliza kipindi kilichobaki..washenzi, sana hawa...