Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Siku zote ukweli unauma. Au unafikiri hatujui Wazenji mna ubaguzi wa dini na ubara?Akiri za namna hii hazina mchango kwenye maendeleo ya nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote ukweli unauma. Au unafikiri hatujui Wazenji mna ubaguzi wa dini na ubara?Akiri za namna hii hazina mchango kwenye maendeleo ya nchi
Hamtaki kuambiwa ukweli na ubaguzi wenu usio hata na chembe ya aibu.Wacha ujingaa
Akili mgando hiiOnce Jecha Always Jecha
Jecha wa shein kafarikiSiyo jecha wa Dr. Shein, Jecha ni jina common sana visiwani kama Maganga kwa wasukuma.
Yaani watu wote mliocomment mmebase kwenye dini ila hamjaona kuwa timu mwenyeji kachagua referee wa mchezo Mwenyewe, bado tuna safari ndefu ya kwenda.Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023.
Pia ameteua wajumbe mbalimbali wa tume hiyo; Jaji Aziza Iddi Suwedi, Ndugu Idrisa Haji Jecha, Ndugu Juma Haji Ussi, Ndugu Halima Mohamed Said, Ndugu Ayoub Bakar Hamad na Ndugu Awadh Ali Said.
Nafikiri huyo ni TX toka Jamhuri ya TanganyikaAhueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.
Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
Mbona hivi lakini kwani jina ndo uthibitisho wa imani yake??Ahueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.
Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
Khaah...Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Kwa hiyo unataka kusema mtu mwenye jina kama hilo anaweza kirahisi tu kuwa mmoja wa ndugu yetu katika imaan!Mbona hivi lakini kwani jina ndo uthibitisho wa imani yake??
Wapo wazamiaji.Zanzibar nako kumbe kuna wakristo?
Itakuwa kapelekwa baada ya kelele yeye na CharlesWapo wazamiaji.
Hapana watu waendelee tu kujadili Dipii Wedi 😅😅😅🙏Tunahitaji katiba mpya kweli yeye anaamua tu moyoni mwake kama anavyopenda?
Kazi kweli kweli !Yaani watu wote mliocomment mmebase kwenye dini ila hamjaona kuwa timu mwenyeji kachagua referee wa mchezo Mwenyewe, bado tuna safari ndefu ya kwenda.
Mkuu Jecha yupi tena??Jecha karudi tena kwa mlango wa uwani.
Charles Hillary ni mgalatia na yupo ikulu, Baba yake ni mpogolo wa Morogoro aliyehamia kule kufanya kazi ya upolisi.Dr. Mwinyi ni kiongozi fair sana, sioni ajabu kumteua Mgalatia mwenzetu kwenye nafasi nyeti kama hiyo.