HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Wewe ni CCM? Kinana anatuhusu nini sisi kama nchi wakati ni mtumishi wa lichama lao?Ipi,kuwateua akina Sophia Simba,Kinana,Ridhiwani,Makamba etc.Yaani nimeichukia nchi yangu ghafla.Tunakoenda siko I am sorry.
Unaishi nchi gani wewe? Nchimbi ana mwezi huko Cairo kama balozi unadhani yupo Songea?haswaaa,bado nchimbi emanuel naona wamemweka jeshi la akiba.
Wewe ni wa ajabu sana na inaelekea hujui kazi ya Makamu wa Chama hasa CCM.Wewe ni CCM? Kinana anatuhusu nini sisi kama nchi wakati ni mtumishi wa lichama lao?
Sophia simba alikuwa bar maid morogoro akizibua chipa za walevi kama kawa anatandika pombe kama kawa anazidudumia kama mpiga tarumbeta wa bendi ya matarumbeta ya Jeshi bila glasiUkiwa unasali siku ya ijumaa kuna raha ya kuteuliwa
Mzee mangoThenatakuja kumalizia kwa Geleja ili safu iwe imekamilika
Dah,Yehodaya nilikuwa nimekuweka kapuni lakini kwa comment hii umebadilisha mtazamo wangu.Kama uliyoyasema ni kweli,na Samia anayajua,basi tuna shida kubwa ya uongozi,na Mungu atusaidie.Sophia simba alikuwa bar maid morogoro akizibua chipa za walevi kama kawa anatandika pombe kama kawa anazidudumia kama mpiga tarumbeta wa bendi ya matarumbeta ya Jeshi bila glasi
Ni muislamu chapombe
Msiangalie Jina.Ana Jina la kiislamu lakini kitimoto udenda unamtoka akiona kitimoto na anakula bila hata kukisomea alubadiri na pombe anatandika alikuwa hawara wa na nyumba ndogo ya mhaya sir George Kahama
Wale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo
Na mimi nimeipendaNimeipenda hiyo washington DC. Kazi kazi
Yeyote aweza verify kama ninachoongea uongo ruksaDah,Yehodaya nilikuwa nimekuweka kapuni lakini kwa comment hii umebadilisha mtazamo wangu.Kama uliyoyasema ni kweli,na Samia anayajua,basi tuna shida kubwa ya uongozi,na Mungu atusaidie.
Hamia JerusalemIJUMAA WAWILI
JUMAPILI MMOJA
Siyo mbaya Sana lakn ijumaa wanaupiga mwingi Sana
Ya kiroho ni ya MUNGU namwachia yeye. Kwani wewe unajua MUNGU analomwazia Sophia Simba? Inaweza kuwa umehuzunika na uteuzi wake kumbe mwenzio alifunga na kusali kwa MUNGU na akamjibu.Msemo huo hauna maana unayofikiria wewe.Maana yake ni ya kiroho zaidi.Ni kwamba unapofika mahali hakuna unaloweza kufanya,unamwachia Mungu afanye the rest.Na watu wanapofika mahali wakakabidhi hatma yako kwa Mungu kwa sababu ya ubaya uliotenda,ni mbaya sana.Omba Mungu usifike hapo.God will do something against you.
Kuna ikulu ndogo?Nimeipenda hiyo washington DC. Kazi kazi
Mi najaribu kumsoma hadi naweka miguu kwenye maji ila haingii kichwani . Huyu bibie arudishe tu ikuluTumepigwa Mno Huyu Mama
Okay!...tukubali tu haya ndio maisha tuliyochagua hivyo tuzoee tu.Chama kipya kipi? kwa maana bado sijakiona ukiangalia Chadema,Mwenyekiti wake ni msanii tu ukiende ACT nae Zitto ni msanii tu.
Kumbe tulikuwa na Viongozi wawili waliotofautianaWale wote waliogombana na Jiwe wamerudi serikalini na chamani kwa kishindo
Geleja gani banaaa.......hii zee ya megawatt na dowans......hiyo dugu muhimu kwenye kambi ya wahuni.Thenatakuja kumalizia kwa Geleja ili safu iwe imekamilika
Chawa kaziniHapana siyo kweli...tujaribu kuwa positive.
Hakuna udini kwa Mama,udini na ukanda alikuwa nao Simba wa Yuda.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Obey Nkya Assery naye ni muumini pale msikiti wa Ngazija.....Ukiwa unasali siku ya ijumaa kuna raha ya kuteuliwa