UTEUZI: Sophia Simba ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii

Kama Taifa tunahitaji taasisi imara na sio kiongoz imara!!
Tunahitaji vyote viwe imara.Bila political will hata kama ukiwa na taasisi imara hufiki popote.Chini ya Magufuli tulipiga hatua kwa kuwa kulikuwa na political will.
 
😂😂 Kazi kweli kwel!! Unapokua na taasisi imara jus like Western or Europe yaan hata awepo Rais kilaza lkn uimara wa taasisi utamuongoza vyema!! Tusidanganyane kupata mtu imara badala ya kuweka mipango ya kua na taasisi imara. Ukiwa na taasisi imara hukimbizan na wananchi kulipa kodi na expenses nyingine yaan yote yatakwenda automatically!
 
Tunateua viongozi wanaoelekea kaburini sijui na sisi tunataka tuwafuate huko kaburini?
If you know, you know.
MTU mzee Kama Mrema eti ni kiongozi wa chama, Cheyo, Shibuda, Kinana ad infinitum.
 
Ukiwa unasali siku ya ijumaa kuna raha ya kuteuliwa
Teuzi tatu;

1.Sophia MATHAYO SIMBA
2. Hamisi ......
3. Obey Nkya

Hapo kwa akili za kawaida tu, kwa kufuata ushamba wetu wa kujaji imani ya mtu kwa majina, anayeswali ijumaa ni mmoja tu.

Pamoja na hilo, tayari shutuma na kashgar km hii imeshakuja tayari.
Aisee mama ana kazi sana......kwakuwa kuna Mungu naamini atavuka tu.

Nilikuwa sijui km viongozi wa kiislamu hawa kuna wenye chuki nao kiasi hiki.
Sasa najua kwanini viongozi wa kiislamu pamoja na kuwa wachache lakini ni wenye kubarikiwa sana......chuki za wivu humbariki achukiwaye!
 
Mwaka wenu waislamu
 
Back
Top Bottom