Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Hata wanapokuwepo Wakristo pia hufanya vivyo hivyo ??!
Au ni Waislamu tu ndio hutumia hicho kigezo ??
Huwa sipendi harufu ya Udini Udini na Wadini Wadini wenyewe πŸ™ŒπŸ‘ !!😳
 
Ndo mana nikasema wewe chizi, umetoa data kama reference alafu sasa hivi unazikana tunarudi tena kule kule unawajua jesuits? Embu kawafatilie hawa alafu rudi tena ili tuijadili vizuri nguvu ya Roman catholic na wakatoliki
Unasahau hata ulichopost dk mbili zilizopita,Jesuit si vikaragosi vya huko Roma,unakuza Kila kitu Cha kanisa lako,si kazi ushapakwa Sana mafuta,maana unawa-admire sana
 
Pande mbili zipi wewe kafiri??

Muislam gan anajitambua aende Kwa yule checkbob kukanyaga mafuta ili apate MTOTO??

Muislam toka lini akaamini katika upako wa yesu kristo?pigweni kimpango wenu msituingize waislam kwenye drama zenu
Kaa hivyo hivyo, unakuwa na uchungu na dini zaidi ya waliyokupa dini yenyewe, kafiri ni wewe mwenyewe.!!
Kama hujawahi kuwaona basi ndo ujue sasa.
 
Sasa.mzee unatakaje. Aliyepo kastaafu kwa hio nafas yake kwa unyheti ikaimiwe? Lazima ateuliwe.ninjambo lankawaida na kupewa taarifa
 
πŸ˜„ kuna mtifuano wa kidini mbona....mwafrika udini unatugawa

Ova
Mimi siamini watu huwa wanateuliwa kwa misingi ya Udini Udini bali naamini watu wengi huteuliwa kwa Usuhuba na Ukaribu walionao kati ya wateule na mamlaka ya uteuzi ikishiriana na wanaofanya vetting na wanaofanya lobbying ya watu wao πŸ˜³πŸ‘πŸ˜…

Sisi wengine tusiokuwa na watu wa kumimina cross pass huko golini tutabaki kulalamika miaka yote πŸ™„πŸ™Œ

Masuala ya Dini Dini tutabaki nazo huku mitaani kwetu kwenye masinagogi yetu na majumba yetu ya ibada yaliyojaa kila kona πŸ˜³πŸ˜±πŸ‘

That’s how it’s gentlemen. πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ‘
 
Upo sahihi, ila mbona hakuna Muislam mwenye muonekano wa Kama hiyo Avant yako hapo. Picha na unachokieleza ni tofauti
AVATAR??NAYO PIA NI ISHU,BASI NATOA HII AVATAR NAWEKA YA PENGO AU MWAMPOSA ILI UFURAHI WEWE BASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…