Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

Kwa Tanzania ni kigezo cha kwanza kabla ya vigezo vya utendaji.

Utendaji ni subjective, mimi naweza kusema wewe ni mtendaji mwingine akasema sio mtendaji.

Na bongo unaweza kua mtendaji na bado ukaondolewa, mfano ni Kidata wa TRA, rais alisema ni mtendaji mzuri sana ila amemuondoa kwa sababu ya utendaji kazi wake mzuri.

So bongo ni dini kisha sifa nyingine.
Hata wanapokuwepo Wakristo pia hufanya vivyo hivyo ??!
Au ni Waislamu tu ndio hutumia hicho kigezo ??
Huwa sipendi harufu ya Udini Udini na Wadini Wadini wenyewe 🙌👍 !!😳
 
Ndo mana nikasema wewe chizi, umetoa data kama reference alafu sasa hivi unazikana tunarudi tena kule kule unawajua jesuits? Embu kawafatilie hawa alafu rudi tena ili tuijadili vizuri nguvu ya Roman catholic na wakatoliki
Unasahau hata ulichopost dk mbili zilizopita,Jesuit si vikaragosi vya huko Roma,unakuza Kila kitu Cha kanisa lako,si kazi ushapakwa Sana mafuta,maana unawa-admire sana
 
Pande mbili zipi wewe kafiri??

Muislam gan anajitambua aende Kwa yule checkbob kukanyaga mafuta ili apate MTOTO??

Muislam toka lini akaamini katika upako wa yesu kristo?pigweni kimpango wenu msituingize waislam kwenye drama zenu
Kaa hivyo hivyo, unakuwa na uchungu na dini zaidi ya waliyokupa dini yenyewe, kafiri ni wewe mwenyewe.!!
Kama hujawahi kuwaona basi ndo ujue sasa.
 
Kila siku uteuzi mpya nafasi moja, hivi hata wewe Samia sisi tungekuwa kama wewe Kila siku tunabadili Rais, Leo upo wewe, kesho tunamuweka makamba, keshokutwa Halima mdee, nchi haiwezi kwenda. Halaf kama hao unaoteuwa unasemaga viatu haviwatoshi, je wewe umejipima na kuangalia viatu kama vinakutosha.

Kama unajua wewe mwenyewe hutoshi, basi acha kutumbua tumbua bianadamu c wakamilifu
Sasa.mzee unatakaje. Aliyepo kastaafu kwa hio nafas yake kwa unyheti ikaimiwe? Lazima ateuliwe.ninjambo lankawaida na kupewa taarifa
 
😄 kuna mtifuano wa kidini mbona....mwafrika udini unatugawa

Ova
Mimi siamini watu huwa wanateuliwa kwa misingi ya Udini Udini bali naamini watu wengi huteuliwa kwa Usuhuba na Ukaribu walionao kati ya wateule na mamlaka ya uteuzi ikishiriana na wanaofanya vetting na wanaofanya lobbying ya watu wao 😳👍😅

Sisi wengine tusiokuwa na watu wa kumimina cross pass huko golini tutabaki kulalamika miaka yote 🙄🙌

Masuala ya Dini Dini tutabaki nazo huku mitaani kwetu kwenye masinagogi yetu na majumba yetu ya ibada yaliyojaa kila kona 😳😱👍

That’s how it’s gentlemen. 😅😅🙌👍
 
Upo sahihi, ila mbona hakuna Muislam mwenye muonekano wa Kama hiyo Avant yako hapo. Picha na unachokieleza ni tofauti
AVATAR??NAYO PIA NI ISHU,BASI NATOA HII AVATAR NAWEKA YA PENGO AU MWAMPOSA ILI UFURAHI WEWE BASI
 
Back
Top Bottom