Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

Kwahiyo ulikua unataka mimi nife ili uthibitishe kuwa maelfu ya watanzania waliuwawa? Hii akili ya wapi hii? Ukitaka watanzania wawe walinzi wa amani wape Haki zao.msiwafanye watanzania wapumbavu kwa kuwanyima Haki zao kwa kisingizio Cha kulinda amani.hicho kizazi kwa sasa nchi hii hakipo . Mjipange tu hakuna kupoa Gen Z hawapoi mpaka kieleweke.
 
Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba,

mwanasiasa akikosa agenda au hoja, anaanza kutumia udini au ukabila kama silaha kutafuta uongozi,

ndicho viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani Tanzania hufanya na kuwaumbua zaidi wao wenyewe 🐒
 
Unafikiri watu ni wapumbavu kama ww na CCM yanyokooo... Watu wasimgesema ungeona kina jabiri, makame kila wilaya.... Mnatuletea uchoko hapa....
 
Kuna wapumbavu wanafikiri njia yao ya kuingia Ikulu itapaliliwa na UDINI! ... LAKINI WASISAHAU UDINI PIA UTAPALILIA NJIA YAO KUTOKA IKULU KWENDA VITANZINI!
 
Haki zipi unazozitaka?
 
Unafikiri watu ni wapumbavu kama ww na CCM yanyokooo... Watu wasimgesema ungeona kina jabiri, makame kila wilaya.... Mnatuletea uchoko hapa....
Acheni Udini na mawazo ya kimaskini
 
Hasa CHADEMA wana akili ya kijinga sana
 
Haki zipi unazozitaka?
Uchaguzi ulio huru na wa Haki, vyama vya upinzani vipate uwanja sawa na CCM katika siasa.
Katiba itakayopunguza madaraka ya rais na uhuru wa vyombo vya Serikali kujisimamia bila ushawishi wa CCM.

Tuanze na hayo machache.mengine yatafuata.
 
Uchaguzi ulio huru na wa Haki, vyama vya upinzani vipate uwanja sawa na CCM katika siasa.
Katiba itakayopunguza madaraka ya rais na uhuru wa vyombo vya Serikali kujisimamia bila ushawishi wa CCM.

Tuanze na hayo machache.mengine yatafuata.
Uchaguzi ni wa huru kabisa na ndio maana Mbowe Lissu Lema Mnyika na wengine wengi wamekuwa bungeni kwa muda wa kutosha hadi pale walipofurushwa na wapiga kura baada ya kushindwa kutimiza ahadi zao
 
 

Attachments

  • downloadfile~2.jpg
    39.5 KB · Views: 7
Uchaguzi ni wa huru kabisa na ndio maana Mbowe Lissu Lema Mnyika na wengine wengi wamekuwa bungeni kwa muda wa kutosha hadi pale walipofurushwa na wapiga kura baada ya kushindwa kutimiza ahadi zao
Uchaguzi huru huku aliyejitangaza mshindi anaapishwa kama mwizi na mitutu ya bunduki huko chamwino maporini 😂.
 
Hata wewe
Hata wewe haupo na hizi kelele zotee
Za mapambio

Kama nakuona vile unavyokodaa macho kwenye mkeke umetafutaa weee

Mwisho haupo

Umeona uje kwa kujipooza na nyuzi zako za kitapeliii

Sasa hizo nafasi ni kipimo

Cheki mkeka ya iliyokuwa wakuu wa wilaya na wakurugezi waliohamishwaa na kutenguliwa walikuwa nani

Fanya utafiti ndi uandike

Naa asilimia kubwa za maeneo yote yaliokuwa na migogoro ya watumishi

Viongozi wao ni mfano Moshi bunda kipindi kilee na maeneo kibao wameona hawatoshi
 
N NONSENSE!!!! Unataka kumchafua Rais wetu kwa akili yako butu. Wewe ni nani umuwekee Rais na Watanzania ngonjera za kishamba?
 
Ninyi ndio Wadini Wakubwa na wala siyo CCM ama serikali ama Rais wetu Mpendwa
Siyo kila hoja unapaswa kuijibu na wewe, Kuna hoja ukimya ni jibu. So unaona hapo juu umemjibu mtu kuwa una akili kuliko ukoo wake wote badala ya kumjibu mtu mmoja tu, unashambulia ukoo...aisee
 
Siyo kila hoja unapaswa kuijibu na wewe, Kuna hoja ukimya ni jibu. So unaona hapo juu umemjibu mtu kuwa una akili kuliko ukoo wake wote badala ya kumjibu mtu mmoja tu.
Tangia lini na wewe umekuwa na akili za kuweza hadi kutoa ushauri kwa wenye akili Timamu?
 
Ewe chawa wahead, hebu jaribu kumwogopa Mungu please,please and please. Hatutaki propaganda za kipuuzi hapa. Sioni unachosifia hapa na mapambio yasiyo na mashiko. Pambaf mkubwa ww. Huyo mamako wa Kizimkazi aliyeko eda ana damu mikononi mwake kwa mauaji ya Watanganyika zaidi ya elfu 10 on 29OCT. Acha kujizma data zuzu mkubwa.

Wewe naona ni wale mnao tumika na Bwana Abdul anayetumiwa na mamake toka Kizimkazi ili kuteka, kuua na kupoteza Watanganyika waso na hatia.
Huyu mama ni Dikteta wa kutupwa! Don't you know that? Hakuna awamu yoyote tangu Tanganyika ipate uhuru yametokea mauaji ya kutisha km awamu hii!!

Ukiangalia kwa jicho la 3, wengi wanaotekwa, kuuawa na kupotezwa ni Wadanganyika na woote ni Wakristo. Hili liko wazi hata kwa Mafisccm wenyewe! Wako wapi Ndugai, yuko wapi Lukuvi, wapi Jenista, yuko wapi Polepole, na leo yuko Emmanuel Nchimbi???Just tell me km wewe ni Mzalendo na Mtanganyika kindakindaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…