Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Acheni kutumia vibaya maana halisi ya neno mzalendo/uzalendo.
 

Naona umeamua kuwafundisha hao watoto wadogo na uhalisia. Well[emoji1547]
 
Unajitahidi kuusafisha mtaro mchafu
 
CDM muache kelele zenu hamuwezi kupata kila mnachokitaka. Mwambieni Mkt wenu awe na hekima nchi inipokuwa kwenye transsion. Tukiangalia histotia ya ugawaji wa ubunge wa viti maalumu ndani ya CDM hata Mbowe hastahili kuwa mkt wa kudumu CDM.
 
Mungu atusimamie tu ili tusirudi tulikotoka.

All in all, Katiba Mpya huenda ikasaidia kupunguza haya malalamiko yasiyoisha kwenye teuzi mbalimbali.
Natamani sana kuona watu wakifanya interview kwa nafasi hiyo ili tupate mtu sahihi wa kusimamia criminal justice
 
Naona umeamua kuwafundisha hao watoto wadogo na uhalisia. Well[emoji1547]
Nadhan members wengi humu wanadhani majeshi ya police yote ulimwenguni ni ma rocket scientists...wanasahau Kazi kubwa na number moja ni kuhakikisha nchi zinatawalika..sasa kila nchi ina utamaduni,Sheria na katiba yake ambayo inawaongoza kufikia Malengo na matakwa yao...swali ni JE!? Malengo na Matakwa ya Tanzania ni yapi?
 
Leo bunge la wananchi kupitia JamiiForums kurunzi (torch) inalimulika jeshi letu la Polisi kwa undani kabisa kiutendaji na kimaadili .
 
Amepotoka mwenyewe
Viongozi wa upinzani hili lenu wasemeeni wananchi
Uteuzi utenguliwe hata ikibidi mahakamani
Huu ni uwendawazimu
Criminal anaongoza
Hii nchi ngumu sana
AONDOLEWE WANANCHI TUNASEMA MSITUTANIE
UPOLE WETU MSITUCHUKULIE POA
 
Kingai ni mshirika wa Wambura, huenda Wambura alipewa nafasi ya kupendekeza
 
PGO haijui ndo anaenda kuwa DCI.

Ama kweli bongo nyosso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…