Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia kwa kujua au kutokujua ametonesha tena vidonda vya akina Khalfani Bwire, Adamu Kasekwa, Mohamed Ligwenya, mawakili na mashahidi wote kwenye kesi ya Ugaidi.Mungu atusimamie ili tusirudi tulikotoka.
All in all, Katiba Mpya huenda ikasaidia kupunguza haya malalamiko yasiyoisha kwenye teuzi mbalimbali.
We lipumbavu kweli kesi ya mbowe ipi hiyo?unaona kulikuwa na kesi pale kwa akili yako au maigizo?Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Hivi ni lini tutaelewa kwamba hakuna maamuzi yanayofanywa kwa kuzingatia wananchi wanataka nini?Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
*ndio maana shavu.. No smart people allowed!
Pigeni kelele huenda akampiga chini.Kama Rais Samia kaona Kingai ndiye anayefaa basi tuna uhaba mkubws wa watumishi
Kumbe ishu ni Mbowe? 😆😆😆😆Kwanini kama Taifa tunarudia makosa ya kuteua watu wenye makando kando kama Afande Ramadhani Kingai? Huyu mtu kwa sasa anafahamika na kila Raia kwa matendo yake yaliyojidhihirisha pale Mahakamani wakati wa kesi ya Mbowe
Je tunasubiri afanye ukatili na unyama wa kiasi gani kwenye hili Taifa?
Tulishajifunza wakati wa JPM umuhimu wa vetting ya viongozi kwa yaliyotokea.Je? bado tunaendelea kujifunza
Afande Kingai hakupaswa kupewa nafasi ya DCI hata kidogo, Imani ya Raia kwa huyu mtu ni ndogo sana, Wakati wa kesi ya Mbowe huyu alihusishwa na utesaji na utekaji, Na hata majibu yake mahakamani alijichanganya sana kuhusu kuwahamisha watuhumiwa tokea kituo kimoja cha polisi kwenda kingine na malengo yake kuhusu utesaji
Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa Mkurugenzi wa makosa ya jinai unaligawa Taifa ambalo Rais Samia alikuwa anafanya jitihada za kuliunganisha kwa maridhiano
Kwenye kesi ya Mbowe pale mahakamani, Afande Kingai alikuwa shahidi mkuu upande wa jamhuri na ushahidi wake alioutoa pale mahakamani wa kuwanunulia watuhumiwa Mo energy ikawa mwanzo wa watu kuamini huyu Bwana ameshiriki Katika kesi ya mchongo kuanzia kudraft mpaka kupeleka mahakamani
Afande Kingai alishindwa kujibu maswali ya mawakili wa utetezi hata moja na hata maswali yaliyohusiana na kitendea kazi chake ya General Orders of police ( PGO) alionekana haelewi pale Mahakama ya uhujumu Uchumi sinza
Ushahidi wa Afande Kingai ambaye alikuwa Shahidi mkuu ulileta mkanganyiko pale mahakama ya uhujumu Uchumi na ndio ukawa mwanzo wa watu kufahamu siri ya kesi ya akina Mbowe pamoja na Kikosi kazi maalum kilichojumuisha Afande Goodluck
Maswali ya kujiuliza sisi kama Raia wa nchi hii:
Unawezaje kumpa mtu nafasi ya DCI wakati uma wa watanzania wanafahamu huyu mtu amechafuka?
Je huu ndio mwanzo wa watu kubambikiwa kesi za mauaji hapa nchini?
Je uteuzi huu Bwana Kingai sio ni mwanzo wa kufumua madonda ambayo Rais Samia alishaanza kuyaponya?
Moja ya watu kuzidi kudai katiba mpya ni kutokana na uteuzi wa watu aina ya Afande Kingai, Tungekuwa na tume maalum ya kuchuja na kuteua aina ya watu kama Afande Kingai kama Rasimu ya Jaji warioba alivyopendekeza tusingekuwa na utata
Na litaenda kutokea hiliPigeni kelele huenda akampiga chini.
Nchi hii tuna kazi! Yaani jeshi la polisi watu wameisha kabisa mpk Kingai?Kwa uteuzi huu Hangaya kapuyanga sana
Safi kabisa,......wapuuzi sana hawa!Umeangalia vyeti vyake au CV? Mnataka jeshi liongozwe kwa matakwa ya CDM?
Chapa kazi Kingai, wahalifu wajue wewe huna mchezo. Sasa onyesha weledi wako mpaka waombe poo.
Propaganda za mahakamani hazihusiani (irrelevant)
Ubaya nyie ni bendera fuata upepo mama akimtumbua Kingai mtaanza kumsifia mama oooh kasikia kilio cha wananchi mlivyo wanafiki mtapiga kale kamsemo kenu mama anaupiga mwingi.Safi kabisa,......wapuuzi sana hawa!
Eti 'teuzi haijazingatia matakwa ya wananchi'! Walipita lini kwa wananchi hao ambao waliwaambia kuwa hawamuhitaji kingai?!!!!!! Waseme tu kuwa hao ni vifuasi vichache vya cdm