Uteuzi wa Afande Ramadhani Kingai kuwa DCI (Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai). Je, Rais Samia amepotoshwa?

Umeangalia vyeti vyake au CV? Mnataka jeshi liongozwe kwa matakwa ya CDM?

Chapa kazi Kingai, wahalifu wajue wewe huna mchezo. Sasa onyesha weledi wako mpaka waombe poo.

Propaganda za mahakamani hazihusiani (irrelevant)
 
Mungu atusimamie ili tusirudi tulikotoka.

All in all, Katiba Mpya huenda ikasaidia kupunguza haya malalamiko yasiyoisha kwenye teuzi mbalimbali.
Rais Samia kwa kujua au kutokujua ametonesha tena vidonda vya akina Khalfani Bwire, Adamu Kasekwa, Mohamed Ligwenya, mawakili na mashahidi wote kwenye kesi ya Ugaidi.

Hata Jaji Tiganga na Siyani inabidi washtuke imekuwaje tena.
 
We lipumbavu kweli kesi ya mbowe ipi hiyo?unaona kulikuwa na kesi pale kwa akili yako au maigizo?
 
Hivi ni lini tutaelewa kwamba hakuna maamuzi yanayofanywa kwa kuzingatia wananchi wanataka nini?
 
Kingai mnamnalumu bure. Kwanza tunapaswa kujua kuwa boss wake ni nani ! Hivyo malalamiko yote mnayomlalamikia hakufanya kwa matakwa yake bali kwa kutii maagizo.

Hivyo unaweza kuta jamaa ni mtendaji mzuri sana hivyo tusubiri tuone.
 
Kumbe ishu ni Mbowe? 😆😆😆😆
 
Nchi hii ina matahira, sorry, watu wa ajabu sana! Ni kulalamika tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na kujifanya wanajua na kuwajua watu vuzuri mpaka inaboa.
Yaani mtu asifanye kazi yake kisa mna bifu nae mliloambukizwa na bwana wenu mbowe?!!!!!!
 
PGO Kazi Ipo Kubwa Sana Nafuu Haionekani
Wote Wameoza Na Kupungukiwa Utukufu Wa Mungu
 
Umeangalia vyeti vyake au CV? Mnataka jeshi liongozwe kwa matakwa ya CDM?

Chapa kazi Kingai, wahalifu wajue wewe huna mchezo. Sasa onyesha weledi wako mpaka waombe poo.

Propaganda za mahakamani hazihusiani (irrelevant)
Safi kabisa,......wapuuzi sana hawa!
Eti 'teuzi haijazingatia matakwa ya wananchi'! Walipita lini kwa wananchi hao ambao waliwaambia kuwa hawamuhitaji kingai?!!!!!! Waseme tu kuwa hao ni vifuasi vichache vya cdm
 
Ubaya nyie ni bendera fuata upepo mama akimtumbua Kingai mtaanza kumsifia mama oooh kasikia kilio cha wananchi mlivyo wanafiki mtapiga kale kamsemo kenu mama anaupiga mwingi.
 
Nafurahi kwa sababu Chadomo wanateseka
Hiyo ndio furaha yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…