Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?
Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!
Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?
Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi mpya akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali
Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?
Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.
Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
Tozo na makodi yanaenda wapi?
Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.
Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.
Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada