Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

Ukwel upi?

Do you know How Hospital works ?

Km angekosa dawa kama Misoprostol etc etc we would understand

Any Hosp haipaswi kukosa Oxytocin, gloves, mkasi, Blades , pads etc …. Wanapata ruzuku kila mwaka

Usi comment kitu huna elimu n
Ukwel upi?

Do you know How Hospital works ?

Km angekosa dawa kama Misoprostol etc etc we would understand

Any Hosp haipaswi kukosa Oxytocin, gloves, mkasi, Blades , pads etc …. Wanapata ruzuku kila mwaka

Usi comment kitu huna elimu nacho
Stop being emotional have controll on how you react to things..Unajua mimi niko kwenye professional ipi am not just explaining things out of no where walk to health centres and dispensaries and watch how big is the scarcity of the medical equipments..watu wanawazalisha watu mikono tupu huko gloves hakuna so relax
 
Ukweli mchungu ndio nini? Kama kiongozi ni mfariji na sera za wajawazito ya serikali inasemaje? Kosa la mwananchi mlipa kodi ni nini wakati sera haisemi hivyo?
Mapungufu ya serikali kiongozi utoe kauli ya kipumbavu kama hii?

Tatizo la mkipata mnawaona wote wasionazi mataahira
Ndiyo sasa wajue mapungufu ya serikali yao you should not be emotional huko hospitali hakuna vifaa Tiba asipoambiwa kununua ili afe zije lawama za maternal deaths sio..doctors are doing what is best for their patients alaf wao wanaona wanaonewa ama madaktari wanataka kuwapiga??Come back to your sense bro and digest it
 
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.

Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.

Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?

Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!

Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?

Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi mpya akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali

Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?

Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.

Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!

Tozo na makodi yanaenda wapi?

Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.

Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.

View attachment 3214939

Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada
Huyu ni dhahiri anavuta kitu haramu
 
Wewe unaendeshwa na mihemko, una mtisha nani? Nipo kwenye gemu muda.

Chalamila Hana tatizo na hata mama Samia hawezi wasikiliza nyie mkiambiwa ukweli mchangie huduma mnasema mmetukanwa.

Binafsi naunga mkono hojaaa za chalamila,
Sawa,
kila lakheli PhD candidate OTTAWA☺️ jikite/ wekeza nguvu kwenye masomo yako acha kujiingiza kwenye siasa.
Dogo, umeona watu wenye AKILI timamu, sio wewe unaesema upo kwenye game muda mrefu. Labda game pa kubet na kuvuta shisha. Ungekuwa Medical Professional ungelewa ethics za kazi…. You would not support that BS
 
Attachments

  • BF150029-7130-4025-9618-7483808876EF.mp4
    15.4 MB
Stop being emotional have controll on how you react to things..Unajua mimi niko kwenye professional ipi am not just explaining things out of no where walk to health centres and dispensaries and watch how big is the scarcity of the medical equipments..watu wanawazalisha watu mikono tupu huko gloves hakuna so relax
So what is your point ? Huwa napata shida na nyie mnaosema tupo kwenye field ; please hatuwezi kujadili personal experience zenu

Let’s talk fact

RC alipaswa kufanyq nin baada ya kupewa huo ujumbe ?
 
Ndiyo sasa wajue mapungufu ya serikali yao you should not be emotional huko hospitali hakuna vifaa Tiba asipoambiwa kununua ili afe zije lawama za maternal deaths sio..doctors are doing what is best for their patients alaf wao wanaona wanaonewa ama madaktari wanataka kuwapiga??Come back to your sense bro and digest it
You are not rational; you are too subjective Dogo . You should back up your talk with data ! Dunia hii sio ya kuandika andika ….. otherwise unachosha watu

Tuanze hivi!

Tukio limetokea Hospital ya Temeke, sio Health center or dispensaries ? ni sawa ?

Nipe basic equipment tano za msingi zinazoweza kuruhusu normal delivery?
then
Kila mwaka gvt inaweka fund aside kwa hizo ref hospitals , ni sawa ?

Hospital hizo zote zinaweza kuchukua hizo eq kama gloves , blades , sutures, gauze kwa mkopo huko Bohari ku ya Dawa, je ni sawa ?

Je unazo sababu kwanini hiyo Hosp hai kuwa na hizo basic eq kama gloves ? Blades , clamps etc ?

Je unafahamu kuwa gloves kwa sasa mnazalisha hapo bongo ? ( Ingiq
Google ) , Je unakubali kuwa Hosp bila gloves ni kitu hakiwezekani, na matumizi ya gloves sio kuwa kila mgonjwa atahitaji umvalie gloves yake, unakubali hilo?

Unakubali kuwa kauli ya Chalamilq ni kauli ya Kihuni na sio ya kiongozi ?

Chalamila alipaswa kufanyq nn kama kiongozi?

Now , let’s talk ….kama kweli hivyo vifaa havipo, je unafahamu kwanini havipo kwenye Hosp kubwa kama hiyo ?

Let’s talk about this …
 
Ndiyo sasa wajue mapungufu ya serikali yao you should not be emotional huko hospitali hakuna vifaa Tiba asipoambiwa kununua ili afe zije lawama za maternal deaths sio..doctors are doing what is best for their patients alaf wao wanaona wanaonewa ama madaktari wanataka kuwapiga??Come back to your sense bro and digest it
Nitolee upumbavu wako hapa, mapungufu ya serikali kosa liwe na mwananchi?

I am not emotional nazungumza uhalisia kuwa sera ya afya kwa akina mama wajawazito inasemaje? Aliyekuwa emotional ni wewe na chalamila. Mapungufu ya vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo hospitali kosa la mwananchi au serikali? Na anayetakiwa kuwajibika ni mwananchi au ni serikali?

Badala ya kuwajibika unatoa kauli ya kipumbavu kwa makosa yenu. It's you who should come back to your sense not me. Maneno mengi yasiyo na nguvu kisheria bali hisia.
 
Dogo, umeona watu wenye AKILI timamu, sio wewe unaesema upo kwenye game muda mrefu. Labda game pa kubet na kuvuta shisha. Ungekuwa Medical Professional ungelewa ethics za kazi…. You would not support that BS
Kumbe maneno yangu yalikuchezesha segere..
We done🤣🤣 (tulisha/tumesha malizana.
Nini kina kuwasha kujibishana na Mimi? Kuni quote?
Kuhusu kubet, shisha sijawai na sitowai.

We are differ in different....Kila mtu ana jinsi anavyo fikiria anavyo yaona mambo.. nasisitiza wewe upo OTTAWA ya bibi NYAU au OTTAWA ya kwa mparange.
Kitu pekee ambacho naanini umenizidi ni UJINGA (Globally)

Tusichoshane Sito jibishana Tena na wewe..Am done 👍.
 
Kupitia Kwa Hawa viongozi ndio unafahamu uwezo wa aliyewateua
 
Kumbe maneno yangu yalikuchezesha segere..
We done🤣🤣 (tulisha/tumesha malizana.
Nini kina kuwasha kujibishana na Mimi? Kuni quote?
Kuhusu kubet, shisha sijawai na sitowai.

We are differ in different....Kila mtu ana jinsi anavyo fikiria anavyo yaona mambo.. nasisitiza wewe upo OTTAWA ya bibi NYAU au OTTAWA ya kwa mparange.
Kitu pekee ambacho naanini umenizidi ni UJINGA (Globally)

Tusichoshane Sito jibishana Tena na wewe..Am done 👍.
Punguza Makasiriko. Elimu yako ni level gani? Unaonekana Mswahili sana na typical bongo man
 
Nitolee upumbavu wako hapa, mapungufu ya serikali kosa liwe na mwananchi?

I am not emotional nazungumza uhalisia kuwa sera ya afya kwa akina mama wajawazito inasemaje? Aliyekuwa emotional ni wewe na chalamila. Mapungufu ya vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo hospitali kosa la mwananchi au serikali? Na anayetakiwa kuwajibika ni mwananchi au ni serikali?

Badala ya kuwajibika unatoa kauli ya kipumbavu kwa makosa yenu. It's you who should come back to your sense not me. Maneno mengi yasiyo na nguvu kisheria bali hisia.
Sasa kwa sababu umeishiwa hoja unaanza kuita watu wapumbavu..Mpumbavu mwenyewe
Am out I will never respond!
 
You told me to come back to my sense. What does it mean, I am out of my sense?
Brouh Really sorry if it’s what triggered your anger and I didn’t mean to offend you,in your two previous comments you have been insulting me consistently with the same word’mpumbavu’ I don’t think if that’s how literate individuals should drag out the conclusions in their matter trying to discuss..🙏
 
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.

Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.

Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?

Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!

Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?

Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi mpya akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali

Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?

Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.

Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!

Tozo na makodi yanaenda wapi?

Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.

Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.

View attachment 3214939

Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada
Tuwe wakweli sometimes,
Tujifunze kuwajibika, una mtoto, delivery kit zinauzwa 25 pharmacy zote, kama umempa mimba mkeo bas nunua mapema mambo yasiwe mengi, hizi issue za kusubiri huruma za wanasiasa ni za kisenge
 
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.

Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.

Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?

Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!

Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwa mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?

Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali

Na kwanini mgonjwa ambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital ina vifaa muhimu kama glovu? Blades? Mikasi? Pedi? Gauze? Hosp inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Mikasi na Pedi?

Mkurugenzi wa Hospitali, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospitali hiyo kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.

Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Aibu!

Tozo na makodi yanaenda wapi?

Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospital haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.

Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.

View attachment 3214939

Dk Megalodon Mushy, Mgombea wa Uzamivu
Ofisi ya Mkoa ya WHO
Rue 52, Ottawa,
Kanada
Bado haujamuelewa tu?
Kauli zake zinaakisi uelewa wake.
 
Back
Top Bottom