Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi kabisa huyuMama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?
Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!
Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?
Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi mpya akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali
Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?
Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.
Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
Tozo na makodi yanaenda wapi?
Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.
Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.
View attachment 3214939
Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada
Duuuh,Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe...
Mpenzi Sasa huo UDC tuone kama hatoboi.Acheni kum-attack mh. Chalamila.
We ukipewa hata ukuu wa Wilaya tu, nina imani hata siku moja huwezi kutoboa
Mshamba tu huyo, tena mlugaluga haswa!Chalamila ni mwanaume wa Dar
Vp kama katumwa, mara ngapi wanasimama na kusema kauli zao ni kauli za aliewatumaNimeona video ikitembea Mtandaoni kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar Robert Chalamila, kiukweli kama umewahi kupeleka mkeo Kujifungua kisha unaona kauli kama hizi lazima utetemeke!!!
Binafsi namuona kama Muuaji, hana utu, pamoja na kauli za kuchangia lakini ameonyesha wazi kwamba sio mwema kwa watu wake anaowaongoza.
Tunajua unaweza kuwepo utaratibu wa kuchangia ila ndio kwa kauli hizi.. Mwanamke akishaanza harakati za kutapika, kila kitu kinakua alijojo unafika hospitali unaambiwa rudisha nyumbani patakalika kweli?
Nimewahi kufika Leba wanapojifungua wanawake, sauti zile sio za kuskia na kuzizoea leo kiongozi kama Chalamila anatoka hadharani anaongea upuuzi namna ile?? Noo noo hii haikubaliki hata kidogo, iko haja kwa mamlaka kuangalia namna ya kumpa muda wa kupumzika huyu mtu..
Kama ni kuchangia mhudumie Mke wangu ajifungue salama ili akitaka kutoka ndio nilipe, ila sio hela kabla hajazaa hii hapana kusema ukweli
Hapa mkuu wa mkoa kule Gari limechomwaDah tumebaki kusubiri matukio na matamko ndio tupate cha kuongea
Nae kasoma na kupata sifa ya kuongoza watu?Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?
Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!
Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?
Pia soma: RC Chalamila asema hatukumuelewa kwenye video ya gloves. Atoa ufafanuzi mpya akigusia watu wanaochangia vigodoro badala ya hospitali
Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?
Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.
Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
Tozo na makodi yanaenda wapi?
Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.
Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.
View attachment 3214939
Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada
Unashauri nin sasaAcheni kum-attack mh. Chalamila.
We ukipewa hata ukuu wa Wilaya tu, nina imani hata siku moja huwezi kutoboa
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.

Watanzania Tuko soft na emotional sana...Tumezoea kubembelezwa hatupendi ukweli mchungu...Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Nafasi ya Chalamila hata ukiingia kilabuni ukafanya random selection ya mlevi wa komoni anaweza fit. Wote sawa ila mmoja ana cheo mwingine hanaAcheni kum-attack mh. Chalamila.
We ukipewa hata ukuu wa Wilaya tu, nina imani hata siku moja huwezi kutoboa
LIPO tatizo kubwa. Kikawaida hizo gloves na hivo vifaa tiba vinatoka Bohari kuu ya Dawa. Na tunaona kwenye Mitandao Bohari kuu ya Dawa kwa sasa inazalisha na gloves huko Iringa. Mbali na hapo Sitegemei gloves itakosekana Bohari kuu ya Dawa . Na kama hakuna…. Kariakoo kwa wakinga zipo nyingi.Lazima kuna tatizo mahali; kuna kitu hakiko sawa.
Vetting system za siku hizi ni magumashi. I doubt kama kuna vetting now daysNafasi ya Chalamila hata ukiingia kilabuni ukafanya random selection ya mlevi wa komoni anaweza fit. Wote sawa ila mmoja ana cheo mwingine hana