Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?
Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!
Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?
Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?
Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.
Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
Tozo na makodi yanaenda wapi?
Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.
Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.
Your browser is not able to display this video.
Dr Megalodon Mushy, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa,
Canada

Anaiga lugha za Magufuli. Magufuli ndio alikuwa na lugha za aina hii, mara kama choo hakijatengenezwa bakini na mavi yenu nyumbani, kama nauli ya ferry ni kubwa piga mbizi nk.
Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital.
Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe.
Kama taifa hatuwezi kuwa na viongozi WAPUUZI kama huyu. Kama kiongozi unadharau wazazi kama hivi, wahuni wafanyaje?
Kwanza nimestushwa kuambiwa vifaa vya kujifungulia atoe 50,000!
Delivery Kit inakuwa na Gloves, Blades, cord clamps, pads, towel etc, hizi kit zilikuwaga ni mradi wa Ummy Mwalim na ndio sababu ya kutolewaga Wizara ya Afya na JPM na zilikuwa zinauzwa 18,000 na bado zilionekana ghali. Inakuaje leo delivery kit iwe elfu 50?
Na kwanini mgonjwa aambiwe akanunue gloves? Inakuaje Hospital inakosa vifaa muhimu kama gloves? Blades? Scissors? Pads? Gauze? Hosp gani inaweza kufanya kazi bila Gloves? Blades? Scissors na Pads?
Mkurugenzi wa Hospital, Mkuu wa Mkoa na watendaji wa Hospital wanapaswa kuwajibishwa. Sioni tofauti na wale watu wa Manyara waliomnyima mgonjwa Antivenom na kupelekea Mgonjwa kufa.
Mkuu wa Mkoa ameshindwa ku act kama kiongozi badala yake ame act kama muhuni na mvuta SHISHA! Shame!
Tozo na makodi yanaenda wapi?
Nilitegemea Mkuu wa Mkoa atafute root cause as to why hospitali haina vifaa muhimu kama gloves, mikasi, nyembe, clamps, gauze pads kwa mama kujifungulia, badala yake anamtukana mama aliyekwenye uchungu.
Utetezi wa Chalamila juu ya kauli yake ni VOID: RC na Mkurugenzi wa hospitali muwajibishwe HARAKA.
Siasa ngumu, hasa ukiwa na cheo lakini bila mamlaka kamili yale ya kujiachia hizi nafasi za uteuzi.
Mfano siku nyingine akataka kuwachana bodaboda au wajawazito. Hadi tena awaaaaze political implications mwisho unabaki kuwa kimya bila maamuzi binafsi.
Kazi sana. Inahurumisha. Lakini kama mwamba mmoja humu jf kasemaga if you speak you die, if you dont speak you die.... so go on speak out and die

Ni swala la Muda tu, Chalamila alishafeli kitambo Sana kuongoza Mkoa Mkubwa kama Dar...na uyu jamaa Wala hafai kuwa Kiongozi ni mtu ambaye kufikiri kwake ni kidogo Sana hauendani na nyakati..

Is this ass-hole dude normal? Yaani mpaka siamini ninachokisikia.
It so sad kwa mtu mwehu kama huyu kuwa kiongozi, na kabisa watu wamekaa wanamsikiliza and to make it worse wanaomsikiliza ni doctors and nurses yaani professionals wenye dhamana ya kutibu watu.
Huyu jamaa ni kiazi sana sijui huwa anabahati gani ya kuendelea kuwepo. Si mchapakazi,si mbunifu,mropokaji, hajui cha kufanya hasa kwa jiji kubwa kama hili