Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Bado hujelewa u special wake.Nimeielewa.
1)ilianzishwa 1965
2)ina strong reputation and excellence.
Issue ni imeanza kutambulika na serikali kama Vipaji maalum lini. Hilo halijaandikwa. Maana unezungumzia vipaji maalum kana kwamba tangu 1965 ilikuwa designated kuwa vipaji maalum na serikali
Imetajwa kwenye hiyo link, kuwa ni shule ilikuwa inachukuwa the best of the best toka mikoa yote Tanzania.
Na shule hiyo haikuwa chini ya Wizara ya Elimu kiutawala, bali chini ya Kibaha Education Centre.
Fuatilia tena hiyo link na ujiridhishe na bandiko hili.
"Special schools joint examinations-2020Time
Matokeo ACSEE Kibaha 2020
Matokeo ACSEE Kibaha 2019
Matokeo ACSEE Kibaha 2018
Matokeo CSEE Kibaha 2019
Matokeo CSEE Kibaha 2018
Matokeo CSEE Kibaha 20"