Uteuzi wa Askofu Malasusa ni maajabu ya Mungu!

Bado hujelewa u special wake.
Imetajwa kwenye hiyo link, kuwa ni shule ilikuwa inachukuwa the best of the best toka mikoa yote Tanzania.
Na shule hiyo haikuwa chini ya Wizara ya Elimu kiutawala, bali chini ya Kibaha Education Centre.

Fuatilia tena hiyo link na ujiridhishe na bandiko hili.

"Special schools joint examinations-2020Time

Matokeo ACSEE Kibaha 2020

Matokeo ACSEE Kibaha 2019

Matokeo ACSEE Kibaha 2018

Matokeo CSEE Kibaha 2019

Matokeo CSEE Kibaha 2018

Matokeo CSEE Kibaha 20"
 
Mfano wa shule za vipaji maalum ninazozifahamu ni Kilakala sec, Mzumbe sec, Ilboru sec etc...
 
Hayo matokeo ni ya miaka ya karibuni.

Ilianza kuchukua the best tangu kuanzishwa kwake? Na vipaji maalum ilikuwa designated hiyo hiyo 1965?
 
Ndiyo, toka 1965.
Kikwete kasoma pale, pamoja na viongozi wengine wengi.
Kuwa designated kuwa ni special school na serikali.

Ngoja aje mwenzio aliyenielewa zaidi juu ya ninachokiuliza halafu usome majibu yake. Maana mimi na wewe hatujaelewana.

Umejibu kwa ujumla,swali Liko specific.
 
Sema KKKT walikuwa na wakati mgumu sana kwenye uchaguzi wao... huku Sultan Malasusa kule Askofu wa CHADEMA Bagonza. Ingawa Sultan Malasusa simkubali ila ni bora kuliko kumchagua mwanasiasa Bagonza kuwa mkuu wa Kanisa. Angepita basi KKKT ingekuwa rasmi tawi la CHADEMA. KKKT kwa sasa mumpe ushirikiano Sultan Malasusa.
 
Kuwa designated kuwa ni special school na serikali.

Ngoja aje mwenzio aliyenielewa zaidi juu ya ninachokiuliza halafu usome majibu yake. Maana mimi na wewe hatujaelewana.

Umejibu kwa ujumla,swali Liko specific.
Kwanza mimi siko serikalini, hivyo swali lako "specific" ungelipeleka huko.
Pili, hicho unachoulizia na maelekezo uliyopewa kwa mtu mwenye akili angeelewa aina ya shule inayoongelewa na mazingira yake.
Tatu, hujajieleza na ukaeleweka, tena kwa mifano, kile unachotegemea katika "specific" special school iliyo katika imagination yako.
Hivyo tuachie hapo na ubaki na imagination yako.
 
Naamini Academic excellence kwa miaka ya 60 lilikuwa jambo la kawaida kwa shule nyingi za boarding za serikali kutokana uchache wao hivyo kuchukua Wanafunzi wachache nchi nzima. Issue ni shule kuwa designated na serikali kwamba ni vipaji maalum by miaka hiyo ya 1960 kama Kibaha ilishapewa hiyo hadhi.

Kama hill swali hujalielewa ipasavyo watakuja wadau watalidadavua ipasavyo .
 
Beating around the bush.
Unauliza swali ambalo jibu lake unalifahamu.
 
Huko kwenu Sultani ana chaguliwa kwa kura?
 
Kwa RC, Askofu anateuliwa moja kwa moja toka Vatican. Kwao anayepigiwa kura ni Papa tu! Ila na uteuzi wao una mambo! Yasingelikuwapo mambo mambo, basi Padre Dk. Kitima angeliishakuwa Askofu kabla hata ya Baba Askofu Dk. Msomganzila na Baba Askofu Dk. Bernadine Mfumbusa! Yeye anaweza kuishia kuwa Monsignor tu!
 

Amjue wapi? Jamaa wameamua watuvurugie kanisa, uchaguzi wa kanisa unakua kama CC za vyama! Nashangaa hata hawa waliomchagua najua kuna namna, imefika mahali sisi tunaoabudu kwenye kanisa hili tutaanza kuhoji hizi phd zao!

Kanisa limeanza kua kama Saccos tunalipishwa madeni ya mikopo iliyokopwa, mvua ya sadaka! Wajameni hivi mnadhani washarika wataacha kukimbilia kwa wazee wa “pokeaaaa, jioniii ya leo”!

Kwa uchaguzi huu na matokeo haya, tumeingia chaka! Ni suala la muda tu!
 
Mungu hadhihakiwi jamani. Vilio vimetanda, kweli ni Mungu anawafanya watu waugulie moyoni hivi?.
 
Ila na uteuzi wao una mambo! Yasingelikuwapo mambo mambo, basi Padre Dk. Kitima angeliishakuwa Askofu kabla hata ya Baba Askofu Dk. Msomganzila na Baba Askofu Dk. Bernadine Mfumbusa! Yeye anaweza kuishia kuwa Monsignor tu!

Kigezo gani kinakufanya uhisi Padre Kitima alistahili kuwa Askofu kuliko Mhashamu Askofu Mfumbusa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…