Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
jinyonge wewe dharau zenu zimefika mwisho muacheni mamaTunajua Biswalo Mganga ni Team Jiwe kama wewe kapuku , lakini aibu mtakayoipata Mahakamani msije kumlilia mtu yeyote , kwa kifupi mmekwisha !
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu Lema jizi la magari jambazi sugu limekimbia madeniKama alivyotoa unabii kwa kichaa Jiwe aliyefukiwa kule Chato
Unabii wake ulitimia kuna jitu tulilizika Chatle na sasa hivi limeshaoza.Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Mtu mmoja kumquote kila mtu kwenye uzi mmoja ni ishara ya kichaajinyonge wewe dharau zenu zimefika mwisho muacheni mama
kichaaa ni nyie weenye dharau za kipumbavu mlimdharau mwendazake msithubutu kumzoea mama tunawanyaMtu mmoja kumquote kila mtu kwenye uzi mmoja ni ishara ya kichaa
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Unabii usio na kichwa na miguu huku ndugu yenu anashambuliwa na funza bila hata ya kujitetea huko Chattle!Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Ni kweli hafai kwenye mizania ya ujaji usiongelee ushabiki, Jaji mwenye historia ya usimamizi wa kupindishwa kwa sheria kwa ajili ya kuubeba muhimili ulio msimika katika nafasi yake ya UDPP huyo hafai kuwa mlezi wa sheriaDuh!
Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Kwenye process ya sheria na haki kuna watendaji wa aina tatu: watoa lawama (prosecutors), wateteaji (defenders) na watoa haki (administrators of justice). Mwanasheria yeyote anaweza kufanya mojawapo ya hizo kazi, ndiyo maana Jaji Mapigano (RIP) alipostaafu akawa mwanasheria upande wa wateteaji ingawa mwanzo alikua administrator of jusitice. Ni vivyo hivyo Biswalo anavyoacha kuwa prosecutor na kuwa administrator of justice. Ukiwa Prosecutor, utatafuta ushahidi wote unaoweza kumtia mtu hatiani, ukiwa mteteaji, utaponda ushahidi huo kuwa haukidhi vigezo, na ukiwa administarator of justice utapima ushahidi na utetezi na kutafuta balance.Kipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
Hii ndio njia rahisi ya kuepusha aibuHaya kumekucha, mama jitokeze fanya kama ulivyofanya TPDC, mwambie mteule wako jamii haijabarikiwa na mwenendo wake, arejee bafuni na aina nyingine ya sabuni
Jaji gani anayefaa?Ni kweli hafai kwenye mizania ya ujaji usiongelee ushabiki, Jaji mwenye historia ya usimamizi wa kupindishwa kwa sheria kwa ajili ya kuubeba muhimili ulio msimika katika nafasi yake ya UDPP huyo hafai kuwa mlezi wa sheria
Kwa sababu jaji kimantiki ni mlezi wa sheria za nchi tuwe wa kweli Biswalo hafai kuwa Jaji huu ni ukweli
AiseeUnabii usio na kichwa na miguu huku ndugu yenu anashambuliwa na funza bila hata ya kujitetea huko Chattle!
Lema alisema jamaa yenu hatamaliza awamu yake, T.B Joshua yeye alishuka kwenye ndege akiwa pekupeku 2015 ila nyie MATAGA wala hamkuelewa lolote,na hamtakuja kuelewa nguruwe nyie.
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Ndiyo ukweli, kama jamii haimkubali mtu sasa anabakia kwenye nafasi kwa maslahi ya nani kama wale anaokwenda kuwatumikia hawana imani nayeHii ndio njia rahisi ya kuepusha aibu
Anyway, basi Lema ni nabii wa kutabiri vifo vya watu asiowapenda. Anamuomba Mungu awaue.Kwanini unafanya pre - judgement?
Mimi nadhani tungemtaka Godbless Lema ni kwa vipi Biswalo hana maadili? Anaweza ku justify ukosefu wa maadili wa Biswalo Mganga?
Kufyatuka tu kuwa labda Lema ana psychological problem, usishangae kuwa wewe ndiye mwenye psychological disorder...
Kwani wao wapo bungeni? Unataka waongee wakati kuongea kwao walionekana wapinga maendeleo na wasaliti wa nchi na wanatumiwa na mabeberu!?Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Hajatabiri kifo cha mtu. Hili la kifo ni la kwako...!Anyway, basi Lema ni nabii wa kutabiri vifo vya watu asiowapenda. Anamuomba Mungu awaue.
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavuUnabii wake ulitimia kuna jitu tulilizika Chatle na sasa hivi limeshaoza.