Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu kupingwa Mahakamani, Yadaiwa hana Maadili, zuio la kuapishwa kwake laandaliwa

Kama alivyotoa unabii kwa kichaa Jiwe aliyefukiwa kule Chato
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu Lema jizi la magari jambazi sugu limekimbia madeni
 
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.
Unabii usio na kichwa na miguu huku ndugu yenu anashambuliwa na funza bila hata ya kujitetea huko Chattle!

Lema alisema jamaa yenu hatamaliza awamu yake, T.B Joshua yeye alishuka kwenye ndege akiwa pekupeku 2015 ila nyie MATAGA wala hamkuelewa lolote,na hamtakuja kuelewa nguruwe nyie.
 
Duh!

Chadema mna ujuaji mwingi aisee!
Ni kweli hafai kwenye mizania ya ujaji usiongelee ushabiki, Jaji mwenye historia ya usimamizi wa kupindishwa kwa sheria kwa ajili ya kuubeba muhimili ulio msimika katika nafasi yake ya UDPP huyo hafai kuwa mlezi wa sheria

Kwa sababu jaji kimantiki ni mlezi wa sheria za nchi tuwe wa kweli Biswalo hafai kuwa Jaji huu ni ukweli, bila ya kujali itikadi za kisiasa na uccm au uchadema sote tumeshuhudia ofisi ya DPP ilivyoku ikifanya kazi kinyume na taratibu za ofisi ya uma ya DPP inavyopaswa kwa mujibu wa sheria

Biswalo hafai.
 
Kipimo kwa mahakama tuone kama zimeanza kuwa huru, Biswalo hana credibility ya kuwa jaji sifa moja kubwa ya mtu kuwa jaji lazima awe impartial, huyu jamaa ofisi yake ilikandamiza watu wakati wa utawala wa mwendazake, watu kutolewa pesa bila maamuzi ya mahakama ulikuwa ni uporaji.
Kwenye process ya sheria na haki kuna watendaji wa aina tatu: watoa lawama (prosecutors), wateteaji (defenders) na watoa haki (administrators of justice). Mwanasheria yeyote anaweza kufanya mojawapo ya hizo kazi, ndiyo maana Jaji Mapigano (RIP) alipostaafu akawa mwanasheria upande wa wateteaji ingawa mwanzo alikua administrator of jusitice. Ni vivyo hivyo Biswalo anavyoacha kuwa prosecutor na kuwa administrator of justice. Ukiwa Prosecutor, utatafuta ushahidi wote unaoweza kumtia mtu hatiani, ukiwa mteteaji, utaponda ushahidi huo kuwa haukidhi vigezo, na ukiwa administarator of justice utapima ushahidi na utetezi na kutafuta balance.
 
Ni kweli hafai kwenye mizania ya ujaji usiongelee ushabiki, Jaji mwenye historia ya usimamizi wa kupindishwa kwa sheria kwa ajili ya kuubeba muhimili ulio msimika katika nafasi yake ya UDPP huyo hafai kuwa mlezi wa sheria

Kwa sababu jaji kimantiki ni mlezi wa sheria za nchi tuwe wa kweli Biswalo hafai kuwa Jaji huu ni ukweli
Jaji gani anayefaa?
 
Lema canada anataka na Tanzania anataka, achague nchi1 ili adil na siasa za nchi hiyo
 
Unabii usio na kichwa na miguu huku ndugu yenu anashambuliwa na funza bila hata ya kujitetea huko Chattle!

Lema alisema jamaa yenu hatamaliza awamu yake, T.B Joshua yeye alishuka kwenye ndege akiwa pekupeku 2015 ila nyie MATAGA wala hamkuelewa lolote,na hamtakuja kuelewa nguruwe nyie.
Aisee
 
Lema ana tatizo la kisaikolojia. Ni mtu kuongea tu, akimaliza analeta unabii usio na kichwa wala miguu.

Kwanini unafanya pre - judgement?

Mimi nadhani tungemtaka Godbless Lema afafanue/aeleze ni kwa vipi Biswalo hana maadili? Anaweza ku justify ukosefu wa maadili wa Biswalo Mganga?

Kufyatuka tu kuwa labda Lema ana psychological problem, usishangae kuwa wewe ndiye mwenye psychological disorder...
 
Kwanini unafanya pre - judgement?

Mimi nadhani tungemtaka Godbless Lema ni kwa vipi Biswalo hana maadili? Anaweza ku justify ukosefu wa maadili wa Biswalo Mganga?

Kufyatuka tu kuwa labda Lema ana psychological problem, usishangae kuwa wewe ndiye mwenye psychological disorder...
Anyway, basi Lema ni nabii wa kutabiri vifo vya watu asiowapenda. Anamuomba Mungu awaue.
 
Chadema wanadeal na mambo ambayo hayagusi kundi kubwa la Watanzania bali ni ya ubinafsi wao tu. Watu wana shida ya maji, barabara mbovu kwa baadhi ya maeneo ya nchi lkn hawayaongelei bali wamebakia umbea tu mara Sabaya, DPP...!!!
Kwani wao wapo bungeni? Unataka waongee wakati kuongea kwao walionekana wapinga maendeleo na wasaliti wa nchi na wanatumiwa na mabeberu!?
 
Anyway, basi Lema ni nabii wa kutabiri vifo vya watu asiowapenda. Anamuomba Mungu awaue.
Hajatabiri kifo cha mtu. Hili la kifo ni la kwako...!

Anapinga uteuzi wa Biswalo Mganga kuteuliwa kuwa Judge kwa sababu anayosema "..ukosefu wa maadili.."

Nadhani Lema ana maana ya kuwa, Biswalo Mganga ana historia mbovu ya kutenda haki...

Na kwa kukosa maadili, basi hawezi kuwa "Jaji" badala yake anapaswa kuwa jela au jehanamu..!

Kama sheria inaruhusu raia yeyote kupinga uteuzi wa Jaji kwa sababu za kimaadili, basi tuache watu wenye ushahidi wafanye hivyo...
 
Unabii wake ulitimia kuna jitu tulilizika Chatle na sasa hivi limeshaoza.
Chadema ina vilaza watupu kabisa hawawezi kubadilisha chochote kuanzia Mbowe ni kilaza na katili namba moja dikteta hatari kabisa kuwahi kutokea Lema naye kwanza ana nn hata hajasoma mnyika naye zero tu its a failed CHADEMA Lichama limekufa vibaya hili kwa tamaa za kipumbavu
 
Back
Top Bottom