Uhuru bila mipaka ni Vurugu.
yaani watanzania sasa wamekuwa huru kuzungumza hadi wanavuka mipaka!!!!
yaaani wamefikia hatua sasa ya kumpangia Rais nini cha kufanya!!!!
Duh!!! hili sasa limezidi na endapo Kiongozi wetu ataendekeza kupekeshwa na majungu basi hii nchi haiwezi kwenda mbele.
Tena ingekuwa mimi basi huyo mnaye mpiga fitina na majungu ningemteua kuwa Jaji Mkuu kabisaa, hamna maaana kabisa nyie watu, mmekosa aibu kabisa.
huyo mnaye mpiga fitina hajaokotwa barabarani alikuwa DPP na aliteuliwa na mamlaka.