Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

Uhuru bila mipaka ni Vurugu.

yaani watanzania sasa wamekuwa huru kuzungumza hadi wanavuka mipaka!!!!

yaaani wamefikia hatua sasa ya kumpangia Rais nini cha kufanya!!!!

Duh!!! hili sasa limezidi na endapo Kiongozi wetu ataendekeza kupekeshwa na majungu basi hii nchi haiwezi kwenda mbele.

Tena ingekuwa mimi basi huyo mnaye mpiga fitina na majungu ningemteua kuwa Jaji Mkuu kabisaa, hamna maaana kabisa nyie watu, mmekosa aibu kabisa.

huyo mnaye mpiga fitina hajaokotwa barabarani alikuwa DPP na aliteuliwa na mamlaka.
 
Kwenye ripoti ya upigaji alitumwa au aliagiza yeye mwenyewe? Wewe ulijua kuna upigaji? Na kutaalamu ilitakiwa ichukue siku ngapi ili itoke na hizo siku zishaisha kama kuna hiyo timeline? Na je aliwaahidi hiyo ripoti itakuwa public?
Vitu vingine mjitahidi kufikir kwa akili ndogo tu.
Hapa kwa kumpa cheo umeangalia sheria inasemaje? Unataka Rais afate sheria ila unashauri aanze kuvunja sheria kwanza.
Unafikiri katiba ni swala la kuamka asubuh tu ukaagiza, hujui kuna mihimili mitatu lazima ipitie huko na bajeti yake unaitoa wapi kabla hujalifanya kuwa mjadala kwanza ili kuona vipi litapita.
 
Uhuru bila mipaka ni Vurugu.

yaani watanzania sasa wamekuwa huru kuzungumza hadi wanavuka mipaka!!!!

yaaani wamefikia hatua sasa ya kumpangia Rais nini cha kufanya!!!!

Duh!!! hili sasa limezidi na endapo Kiongozi wetu ataendekeza kupekeshwa na majungu basi hii nchi haiwezi kwenda mbele.

Tena ingekuwa mimi basi huyo mnaye mpiga fitina na majungu ningemteua kuwa Jaji Mkuu kabisaa, hamna maaana kabisa nyie watu, mmekosa aibu kabisa.

huyo mnaye mpiga fitina hajaokotwa barabarani alikuwa DPP na aliteuliwa na mamlaka.
 
Sheria ni kwa ajili ya watu hao hao wanaolalamika so hata kama ni jambazi,muuaji aachwe sababu ni sheria.
 
Hivi umeongea nini hiki ?
 
Ni bahati mbaya huwezi kuwa Rais kwa kufikiri watu wakikosoa na kutoa maoni tofauti ni kumpangia na kumpelekesha Rais.
Pamoja na mazuri ya Hayati Rais Magufuli kwenye utumishi bado amejikuta akiboronga baada ya kuamini na kuamishwa kuwa Rais ndio kila kitu na lazima anachosema yeye ndio sahihi.
Baadhi ya wanafiki na majitu yenye roho za shetani yanamtaka Rais awe mkali na kijivika utakatifu kwa maslahi yao na sio ya huyo Rais au wananchi wenyewe.
Bahat nzuri sana Mama Samia kastukizia huu unafiki wenu baada ya kujionea kwenye kifo cha mtangulizi wake jinsi nyinyi wanafiki mlivyopiga kona.
 
Sheria ni kwa ajili ya watu hao hao wanaolalamika so hata kama ni jambazi,muuaji aachwe sababu ni sheria.
Kwani jambazi haongozwi na sheria kwenye kuhukumu? Ukiona jambazi kauwawa ujue alikaidi amri ya polisi na kuanza kuwashambulia ndio maana ripoti itasema polisi walijihami ndio kwa bahati mbaya wakaua.
Sasa kwenye hili la Biswalo ni mjinga tu ndio anaweza kutomuelewa Rais kwa kuwa ujinga wake umevuka kiwango cha kufikiria hata vitu vidogo tu.
 
Ukishapoteza uadilifu ufai kuwa mtumishi wa umma.
 
Una matatizo ya akili aisee si bure
 
Kwa kweli pole sana ndugu yangu Yericko ila kuna kitu nakiona Biswalo huyu hakuwa hivyo alipokuwa na JK. Kwanini alibadilika akiwa na mwendazake? Kuna kitu labda mfumo na matakwa ya alie juu, anaekutuma! Naomba tutafakari kosa la mtu kama yeye au ni la kimfumo kuendana na cheo? Muda mwalimu mzuri; apekuliwe zile billions zote ziko hazina?
 
Raisi ni mwajiriwa wa wananchi,asipowasikiliza ataanguka.Kioo cha mtu ni watu wanasema nn kuhusu wewe.Na ajitazamae kwenye kioo katu aanguki.Atembeaye na watu atoanguka.
 
Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…