Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

Amevunja haki za watu kuchelewesha kesi,kuweka ndani watu miaka bila ushahidi,na mwendazake kujipatia vipato haramu kwa kuwabambika kesi watu na kuwalazimisha watoe pesa Ili kununua uhuru wao, mtu kama huyu anakuwa vipi na sifa za utumishi.
 
Sasa Yeye na upinzani nani aliyekufa
 
Ukishaweka balance yatatokea wapi haya
 
Wasajili wetu wote wawili wamepata teuzi kuwa ma judge. Walivyo na roho nzuri hadi.mkoa wetu unatoa watumishi makini.

Tutawamiss sana.
 
Kama bashiru toka Katibu hadi mbunge wa viti maalumu imeshindikana vipi biswalo kuwa hakimu newala
 
Nje ya mada
 
Wakati wa mwendazake hawa jamaa waliajiriwa kuishambulia Chadema na Viongozi wake. Sasa wana hasira ajira zao mama hazitambui.
Kweli kbs lkn ingekua bora kama wangekua wanatoa na kujenga hoja za msingi tungewapa support. Tatizo lao ni hasira kali walizonazo juu Rais Samia jinsi anavyoiendesha NCHI, wanataman mtangulizi arudi.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia huyu bwana akichunguzwa unaweza kukuta na yy amefanya money laundering!!?
 
Zipo shuhuda nyingi, ni aibu Jopo la Majaji endapo lilishawishiwa na ukwasi wa dhuluma toka huyu kiranja wa TRA-Dhuluma ya mwendake.
 
Yericho unajua tu kupiga porojo na kuzungusha maneno. Nchi kamwe haiwezi kuendeshwa kwa dhana ya watu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…