It’s a pity
Inabidi afungiwe speed governor hasa kwenye matumizi ya mipango yake not necessary ni mipango mibaya mara zote but not thoroughly planned.
Hivi unawezaje kusema unafanya research kwa kugawa majiko, kama pilot scheme kuona utayari wa watu vijijini kutumia nishati ya Gas. Wakati ukifika maeneo yenyewe unayagawa hayo majiko kama sandakalawe barabarani mwenye kupata apate mwenye kukosa akose.
Hakuna mtu anachukua hata majina ya watu wanaopokea majiko na namna ya kuwa trace na kuchunguza kama baada ya miezi mitatu, sita au mwaka wangapi watakuwa nayo, kuwahoji ambao awatumii ni kwanini ili kubaini changamoto zao kama shida ni wa upatikanaji wa gas, bei ya gas as opposed na mkaa/kuni, au tabia tu.
Uwezi kugawa majiko ya gas tu ukasema unafanya research bila. ya kukusanya info has he even ever done a primary research before.
Huko kwenye mikopo ya mafuta ndio kabisa yaani ana ahidi watu mikopo bila ya kuomba ata kuona business plan, hakuna ata pilot scheme kupima ni aina gani ya watu wenye uwezo kuendesha hizo biashara sustainably businesses. It’s is as if hakuhitaji operation strategy ata kwenye kituo kidogo cha mafuta.
Uwezo wake ni mdogo mno; worst huyu mtu walimkabidhi usimamiaji wa uwekezaji kwenye gas, sidhani kama wahusika wanaelewa how complicated those finances are kwa mtu ambae ata ka primary research rahisi ya kuangalia mpango wake the approach is not desirable.
January ni mwepesi hana huo uwezo kama wanavyoamini huko CCM.
Can he even justify idadi ya majiko anayo hawa kama yanathamani ya shillings million 500 bila ya kubainika ufisadi. Useless individual huyu mtu anahitaji speed governor.