Uteuzi wa January Makamba unafikirisha sana, lifanyike Jambo

Maandishi yako hayana karaha, ni machache na maneno ya upole lakini yana ujumbe mzito sana. Maana yake ni kwamba kazi ya kusimamia nishati ni kubwa kuliko uwezo wa Januari Makamba
Hakika
 
It is more sensitive, Ukishindwa kuona aina ya Democracy iliyoko Tanzania, kula tu ulale.
 
Hio wizara ni nyeti inataka mwenye akili kubwa hasa ya kitasnia uteuzi wake eneo hilo labda upo kimkakati Kwa malengo ya watu fulani, kamanda na uzuri wake ila si kwa hii wizara, japo kwa ukwasi inshallah bahati yake
ni kweli
 
vijana wa msoga lakini hakuna kitu ndo maana magu alitupa hiyo takataka.Zaid ya kuiga kukunja mashati kama Obama has nothing to offer!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaa
 
Hapo haitendei haki nafasi yake ya uwaziri ila anachokufanya hapo anapiga kampeni ya kijanja kimyakimya ili baadae akigombea nafasi nyingine wananchi wajitokeze kwa wingi kwenda kumpigia kura.
 
January Makamba matendo yako ni kama vile ma-last born...
 
January Makamba ni akili kubwa, Pascal Mayalla tupia hapa mahojiano yako na Makamba kuthibitisha hili.
 

Tujifunze kuheshim mamlaka za uteuzi jaman

January amekuwa mwandishi wa hotuba za jk miaka yote kumi

January alikuwa yupo kwenye team za kufanya negotiation za mambo makubwa ten yrs pale ikulu

January amefanya kazi kwenye Ngo kubwa bfr hata ajaja Kwa jk

Bfr rais kufanya teuzi kuna watu wanakaa na kufanya vetting, watu wazito na usomi wao

Sasa ww na form six yako unataka kujiona unajua Sana au Unamawazo makubwa zaidi?

Anaweza kuwa hakufurahishi ww but anafurahisha alie mteua
 
Basi anafanya makusudi atupishe
 
January amekuwa tishio kubwa kwa wanasiasa vijana wenye mipango mikubwa ya kisiasa huko mbeleni. Ndiyo maana ameundiwa magenge ya kumchafua na kumshambulia bila sababu zozote. Jamaa ni smart, mchapakazi, mbunifu na asiye na makuu. Wengine endeleeni kulia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…