Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

Hizi teuzi za mkulu ninamashaka nazo.Bashiru alikuwa kichama zaidi kuwa katibu mkuukiongozi kunatia mashaka bwanamkubwa anataka kujinufaisha.hata anakotokea kunanifikirisha sana,Naona Mambo ya ukanda yapo pia.lakini namwamini mungu hataiangusha Tanzania.
 
Tatizo lako haujui taratibu,ukifuatilia alianza kuapishwa kama balozi, tayari anakua mtumishi wa serikali then akaapishwa kama katibu mkuu kiongozi ,sasa apo amesigina vipi katiba?
move ya kishamba sana !
 
Katiba ndio muongozo wa namna inchi inatakiwa kuendeshwa. Nihatari Kwa mtu kufanya maamuzi yake Kwa utashi wake
 
View attachment 1712912

Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?

Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?

View attachment 1713010
Rubbish!! Majuzikuzi tu Bashiru alikuwa Mkufunzi Mwandamizi UDSM, ila alipoteuliwa kuingia Siasa hawakulalsmika. Sasa kaanza kutokomea zaidi na zaidi kwenye Siasa wanaanza kumwaga machozi. Subirini 2025.
 
View attachment 1712912

Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?

Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?

View attachment 1713010
Acha kudanganya watu, hiyo sio katiba ya Tanzania. Hii yako aidha ni kutoka Katiba pendekezwa au Rasimu ya katiba mpya ya tume ya Warioba. Huu ni upotoshaji wa makusudi. Soma ibara ya 60 katiba ya Tanzania au soma sheria ya utumishi wa umma ibara ya 4.
 
Tutajie sheria iliyovunjwa!

Nafasi ya katibu Mkuu sio ya kisiasa, na kuna sifa inapaswa kufikiwa kabla ya kupewa nafasi ya KMK. Huoni kuwa huyo Bashiru ni katibu Mkuu wa chama cha majizi ya kura, anatolewa huko akiwa nje ya utumishi wa umma na kupachikwa na jizi kuu la kura?
 
Tutajie hizo sifa za Katibu mkuu bwashee!
 
Nafasi ya katibu Mkuu sio ya kisiasa, na kuna sifa inapaswa kufikiwa kabla ya kupewa nafasi ya KMK. Huoni kuwa huyo Bashiru ni katibu Mkuu wa chama cha majizi ya kura, anatolewa huko akiwa nje ya utumishi wa umma na kupachikwa na jizi kuu la kura?
Utumishi wa umma ukoje? Sheria inasemaje kuhusu mtumishi wa umma?
 
Tutajie hizo sifa za Katibu mkuu bwashe.
Kuna uzi humu wa kisheria kuhusu nafasi hiyo, ama unatarajia mimi nikutajie vifungu kwa namba? Mimi sio mwanasheria, hivyo usitegemee nikutajie vifungu kwa namba, kama unataka utajiwe vifungu kwa namba msubiri Bashir Yakubu, Petro E. Mselewa.

Hao ndio wanasheria by proffesional. Mimi kwangu naangalia katika jicho la uadilifu tu, huweza kuwa na katibu Mkuu wa kuchomekea, tena kutoka kwa chama kilichoshinda uchaguzi kwa wizi wa kura, na umwagaji wa damu. Hiyo maana yake ni kupandikiza kansa ya kukosa uadilifu wa chama kuingiza kwenye utumishi wa umma.
 
Kuna uzi humu wa kisheria kuhusu nafasi hiyo, ama unatarajia mimi nikutajie vifungu kwa namba? Mimi sio mwanasheria, hivyo usitegemee nikutajie vifungu kwa namba, kama unataka utajiwe vifungu kwa namba msubiri Bashir Yakubu, Petro E. Mselewa
Hao ndio wanasheria by proffesional. Mimi kwangu naangalia katika jicho la uadilifu tu, huweza kuwa na katibu Mkuu wa kuchomekea, tena kutoka kwa chama kilichoshinda uchaguzi kwa wizi wa kura, na umwagaji wa damu. Hiyo maana yake ni kupandikiza kansa ya kukosa uadilifu wa chama kuingiza kwenye utumishi wa umma.
Huo ni mtazamo wako lakini jamii ya watanzania ina imani kubwa na balozi Bashiru!
 
Back
Top Bottom