Kuna uzi humu wa kisheria kuhusu nafasi hiyo, ama unatarajia mimi nikutajie vifungu kwa namba? Mimi sio mwanasheria, hivyo usitegemee nikutajie vifungu kwa namba, kama unataka utajiwe vifungu kwa namba msubiri Bashir Yakubu, Petro E. Mselewa
Hao ndio wanasheria by proffesional. Mimi kwangu naangalia katika jicho la uadilifu tu, huweza kuwa na katibu Mkuu wa kuchomekea, tena kutoka kwa chama kilichoshinda uchaguzi kwa wizi wa kura, na umwagaji wa damu. Hiyo maana yake ni kupandikiza kansa ya kukosa uadilifu wa chama kuingiza kwenye utumishi wa umma.