Hii ni rasmu ya Jaji Warioba katiba haina ibara inayozungumzia sifa za Katibu Mkuu KiongoziView attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
View attachment 1713010
move ya kishamba sana !Tatizo lako haujui taratibu,ukifuatilia alianza kuapishwa kama balozi, tayari anakua mtumishi wa serikali then akaapishwa kama katibu mkuu kiongozi ,sasa apo amesigina vipi katiba?
😆😆😆😆Hamuelewi nini si ameteuliwa kuwa Balozi hivyo ni mtumishi wa Umma Mwandamizi
InfantliaView attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
View attachment 1713010
Rubbish!! Majuzikuzi tu Bashiru alikuwa Mkufunzi Mwandamizi UDSM, ila alipoteuliwa kuingia Siasa hawakulalsmika. Sasa kaanza kutokomea zaidi na zaidi kwenye Siasa wanaanza kumwaga machozi. Subirini 2025.View attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
View attachment 1713010
Chama kimeshika hatamu ndugu.
Acha kudanganya watu, hiyo sio katiba ya Tanzania. Hii yako aidha ni kutoka Katiba pendekezwa au Rasimu ya katiba mpya ya tume ya Warioba. Huu ni upotoshaji wa makusudi. Soma ibara ya 60 katiba ya Tanzania au soma sheria ya utumishi wa umma ibara ya 4.View attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
View attachment 1713010
Tutajie sheria iliyovunjwa!
Tutajie hizo sifa za Katibu mkuu bwashee!Nafasi ya katibu Mkuu sio ya kisiasa, na kuna sifa inapaswa kufikiwa kabla ya kupewa nafasi ya KMK. Huoni kuwa huyo Bashiru ni katibu Mkuu wa chama cha majizi ya kura, anatolewa huko akiwa nje ya utumishi wa umma na kupachikwa na jizi kuu la kura?
Utumishi wa umma ukoje? Sheria inasemaje kuhusu mtumishi wa umma?Nafasi ya katibu Mkuu sio ya kisiasa, na kuna sifa inapaswa kufikiwa kabla ya kupewa nafasi ya KMK. Huoni kuwa huyo Bashiru ni katibu Mkuu wa chama cha majizi ya kura, anatolewa huko akiwa nje ya utumishi wa umma na kupachikwa na jizi kuu la kura?
Kuna uzi humu wa kisheria kuhusu nafasi hiyo, ama unatarajia mimi nikutajie vifungu kwa namba? Mimi sio mwanasheria, hivyo usitegemee nikutajie vifungu kwa namba, kama unataka utajiwe vifungu kwa namba msubiri Bashir Yakubu, Petro E. Mselewa.Tutajie hizo sifa za Katibu mkuu bwashe.
Huo ni mtazamo wako lakini jamii ya watanzania ina imani kubwa na balozi Bashiru!Kuna uzi humu wa kisheria kuhusu nafasi hiyo, ama unatarajia mimi nikutajie vifungu kwa namba? Mimi sio mwanasheria, hivyo usitegemee nikutajie vifungu kwa namba, kama unataka utajiwe vifungu kwa namba msubiri Bashir Yakubu, Petro E. Mselewa
Hao ndio wanasheria by proffesional. Mimi kwangu naangalia katika jicho la uadilifu tu, huweza kuwa na katibu Mkuu wa kuchomekea, tena kutoka kwa chama kilichoshinda uchaguzi kwa wizi wa kura, na umwagaji wa damu. Hiyo maana yake ni kupandikiza kansa ya kukosa uadilifu wa chama kuingiza kwenye utumishi wa umma.
Jamii ipi unayoisema ?Huo ni mtazamo wako lakini jamii ya watanzania ina imani kubwa na balozi Bashiru!
Hata kama watapatikana kwa njia inayo kiuka katiba ya nchi? Maana ya kuapa kuilinda ni ipi ?Mwambie aksfie mbali huko. Tanzania tunahitaji watu wenye vision na sio machakara kama yeye.
Mbona hii ni tofauti na kilichoandikwa humu!?View attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
View attachment 1713010
Ya watanzania!Jamii ipi unayoisema ?
wadanganye mabwegeYa watanzania!