Alishatoka huko na pia uangalie kwa umakini mkubwa hasa suala la siasa.Katibu Mkuu wa Chama kuwa katibu mkuu Kiongozi kuna ukakasi fulani katika demokrasia ya vyama vingi na ukakasi huo unakua mkali zaidi tukitizama yaliyotokea katika chaguzi kuu mbili,serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Kwa maoni yangu haina siha kwa Taifa (Nasikitikita kutamka hivyo na kama nilivyosikitika kuhusu bunge kurudi kuwa la Chama kimoja)Mwal
Mwalimu wa chuo kikuu cha umma/ aliyefikia nafasi ya juu, huyo hatoshi kuwa afisa mwandamizi? Labda watusaidie mipaka ya hayo maneno ni kwa mtumishi aliyewahi kushika nafasi zipi